Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

Dar mpo vizuri, nasikia mnavaa na vikuku mguuni siku hizi... Mpo mbali sana .
Mademu zenu wanatuletea mpaka pesa tupite nao lakini bado uwa tunasimama kwenye standards zetu... Watoto wazuri kuwapata mnatumia nguvu nyingi sana hela mnatafuta kwa shida bado wanawake mnawapata kwa shida na mwisho wa siku wanatuletea mzigo kwa mapenzi yote tuwape furaha mnaishia kupata msongo 🤣🤣
 
Mwandiko wako tu, nimejua tu hali yako mpaka rika lako.
 
Sikujua najadiliana na katoto kazuri ka Sinza.....

Ila mama yako alikuwa girlfriend wangu kabla hujazaliwa...
Ndio zenu washikaji wa mikoani kuonyesha ushamba wenu kama hivi ndio maana tunawachapia sana kwa sababu mmekosa upeo. 😅
 
Ndio zenu washikaji wa mikoani kuonyesha ushamba wenu kama hivi ndio maana tunawachapia sana kwa sababu mmekosa upeo. 😅
Kwahiyo mamaako alinikubali wa mkoani? Nisingevaa kondom ungekuwa mwanangu wewe. Ungezikwa Kishimundu...
 
I can see watu wana hasira sana na wanaume wa Dar.... Hizi hasira zinatokana na kuwashinda kwenye angle nyingi haswa kwenye kuchukua mademu wazuri.
Kiukweli watoto wazuri wanatuelewa sana hii inatuletea shida kwa masela wanakuwa na hasira na sisi.
 
Kijana anapenda uzuri, anataka apendwe.
Kupendwa ni jambo la heri sheikh wangu.... Binadamu unaekataliwa ujue hauna maana ya kuishi. Ukiona haupendwi ilo ni tatizo kubwa sana.

Ndio maana uwa mnadanganyana ukimpa mwanamke hela ndio atakupenda siku mkikimbiwa na hela zenu za mazingaombwe mnaishia kuua watoto wa watu.
 
Sikujua najadiliana na katoto kazuri ka Sinza.....

Ila mama yako alikuwa girlfriend wangu kabla hujazaliwa...
Hii comment ya ukakasi umenikumbusha maneno ya hovyo ya black Americans...jamaa wana maneno machafu vibaya mno

Kwenye muvi ya blood and bone ya Michael J white jamaa alimuuliza mwamba mmoja "where is bone?" Akajibiwa "bone nimepishana nae njiani amebeba box la condom anaelekea kwa mamaako mzazi" 🙄
 
Kwakifupi neno " WANAUME WA DAR" ni tafsida tu lakini watu humaanisha:-

1.WANAUME MASHOGA.
2.WANAUME GOIGOI
3.WANAUME WAOSHA KUCHA.
4.WASHINDIA CHIPS.
5.WAENDA GYM KUTAKA SIX PACK KUMBE WAFIRWAJI.
6.WANAUME WAOGA NA WASIO JASIRI.

Hao ndiyo wa wanaume wa Dar.

Sasa kama upo kwenye kundi hilo wewe ni mwanaume wa Dar bila kupindisha maneno.
 
"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.

Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.

Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa, usafiri wanaotumia, mahali wanapoishi, starehe wanazofanya nk

Hii imepelekea kuwa na mvuto na nyota ya kupendwa na wasichana warembo na kiukweli mwanamke yoyote wa kisasa, mrembo mwenye kujiamini anakubalika basi ndoto yake ni ku- date na mwanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.

Kuna washkaji wanaumia kuona wanatumia nguvu kubwa kupata wanawake wazuri ilihali wanaume wa Dar kwao ni kama kumsukuma mlevi. Watu wanagongewa sana mademu zao na wanaume wa Dar tena bila gharama watoto wanaelewa tu wanyamwezi swaga zao.

Kiukweli am so proud kuwa mwanaume wa Dar 🤣🤣🤣
Hili neno wanaume wa Dar nakumbuka lilianzia humuhumu Jf back in the days 2015...
 
Mpo kwenye Poverty Trap halafu mnajifariji kwa ulevi na starehe halafu mkizeeka mnaanza kutusumbua kwa kuomba omba na kutuita majina ya kila aina ooh Mtu wangu, Don, Mzungu, Mfalme nk

Kusanyeni hela maana ponda mali kufa kwaja ni hadithi za mkosaji
Screenshot_20220924-114938_Google.jpg
 
Chawa wa WCB leo umekuja kivingine kwa kuona kua ulikua unashusha humu thd za kumsifia Rayvanny ila sasa hivi unashusha thd za kumponda Rayvanny!

Njoo huku mbele tutengeneze Dollars acha kua chawa wa wanaume wenzako,umri haumsubiri mtu.
 
Kwakifupi neno " WANAUME WA DAR" ni tafsida tu lakini watu humaanisha:-

1.WANAUME MASHOGA.
2.WANAUME GOIGOI
3.WANAUME WAOSHA KUCHA.
4.WASHINDIA CHIPS.
5.WAENDA GYM KUTAKA SIX PACK KUMBE WAFIRWAJI.
6.WANAUME WAOGA NA WASIO JASIRI.

Hao ndiyo wa wanaume wa Dar.

Sasa kama upo kwenye kundi hilo wewe ni mwanaume wa Dar bila kupindisha maneno.

Mimi ni mwanaume wa Dar sheikh wangu... Mnatuita mashoga ni wadhaifu wavivu lakini vipi mnaonaje mademu wanavyotushobokea?!. Ngoja nikwambie wanawake wanapenda vitu vizuri na wanajua yupi mwanaume haswa na yupi mshamba. Haya maneno yaliyojaa wivu hayajawai kuzuia lolote.
 
Mpo kwenye Poverty Trap halafu mnajifariji kwa ukevi na starehe halafu mkizeeka mnaanza kutusumbua kwa kuomba omba na kutuita majina ya kila aina ooh Mtu wangu, Don, Mzungu, Mfalme nk

Kusanyeni hela maana ponds mali kufa kwaja ni hadithi za mkosaji View attachment 2366542
Poverty trap ipi unazungumzia?

Kuna watu wanapishana kufata mizigo ya biashara China, Dubai, Bangkok kama wanaume wa Dar??

Kuna watu wanaongoza kuagiza magari makali japenga kama wanaume wa Dar?

Kuna watu wanapiga pesa za tenders na consultancies kuwazidi wanaume wa Dar?

Watu wanamiliki nyumba SA, Dubai, US unasema kuhusu umaskini!?

Ukiona mwanaume wa Dar amekaa na laptop yupo busy ujue anachezesha hela ndefu bila jasho jingi.

Mnakuja mjini na hela zenu za mauzauza mkionyeshwa mjini watu wanaishi vipi mnaanza kuchukia wanaume wa Dar, wanawake wanatutaka wenyewe kwa sababu wanaelewa swaga zetu
 
Chawa wa WCB leo umekuja kivingine kwa kuona kua ulikua unashusha humu thd za kumsifia Rayvanny ila sasa hivi unashusha thd za kumponda Rayvanny!

Njoo huku mbele tutengeneze Dollars acha kua chawa wa wanaume wenzako,umri haumsubiri mtu.

Una hasira sana na maisha ya watu hii inaonesha hali ya maisha yako ipoje...
 
"Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.

Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.

Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa, usafiri wanaotumia, mahali wanapoishi, starehe wanazofanya nk

Hii imepelekea kuwa na mvuto na nyota ya kupendwa na wasichana warembo na kiukweli mwanamke yoyote wa kisasa, mrembo mwenye kujiamini anakubalika basi ndoto yake ni ku- date na mwanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.

Kuna washkaji wanaumia kuona wanatumia nguvu kubwa kupata wanawake wazuri ilihali wanaume wa Dar kwao ni kama kumsukuma mlevi. Watu wanagongewa sana mademu zao na wanaume wa Dar tena bila gharama watoto wanaelewa tu wanyamwezi swaga zao.

Kiukweli am so proud kuwa mwanaume wa Dar 🤣🤣🤣
Wanaume wa Dar Unyakyusa mwingi sana.....tunakamata tu milupo ya wa mikoani... Unyama sana.....
 
Back
Top Bottom