sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #21
Mademu zenu wanatuletea mpaka pesa tupite nao lakini bado uwa tunasimama kwenye standards zetu... Watoto wazuri kuwapata mnatumia nguvu nyingi sana hela mnatafuta kwa shida bado wanawake mnawapata kwa shida na mwisho wa siku wanatuletea mzigo kwa mapenzi yote tuwape furaha mnaishia kupata msongo 🤣🤣Dar mpo vizuri, nasikia mnavaa na vikuku mguuni siku hizi... Mpo mbali sana .
Mwandiko wako tu, nimejua tu hali yako mpaka rika lako.Mademu zenu wanatuletea mpaka pesa tupite nao lakini bado uwa tunasimama kwenye standards zetu... Watoto wazuri kuwapata mnatumia nguvu nyingi sana hela mnatafuta kwa shida bado wanawake mnawapata kwa shida na mwisho wa siku wanatuletea mzigo kwa mapenzi yote tuwape furaha mnaishia kupata msongo 🤣🤣
Ndio zenu washikaji wa mikoani kuonyesha ushamba wenu kama hivi ndio maana tunawachapia sana kwa sababu mmekosa upeo. 😅Sikujua najadiliana na katoto kazuri ka Sinza.....
Ila mama yako alikuwa girlfriend wangu kabla hujazaliwa...
Huwezi kujua lolote kuhusu mimi muhimu tambua tu mimi ni mwanaume wa Dar.Mwandiko wako tu, nimejua tu hali yako mpaka rika lako.
Kwahiyo mamaako alinikubali wa mkoani? Nisingevaa kondom ungekuwa mwanangu wewe. Ungezikwa Kishimundu...Ndio zenu washikaji wa mikoani kuonyesha ushamba wenu kama hivi ndio maana tunawachapia sana kwa sababu mmekosa upeo. 😅
Vipi na user name yake? mtoto anapenda uzuri.... Nashukuru niliachana na mama yake...Mwandiko wako tu, nimejua tu hali yako mpaka rika lako.
Kijana anapenda uzuri, anataka apendwe.Vipi na user name yake? mtoto anapenda uzuri.... Nashukuru niliachana na mama yake...
Afu anapasifia Sinza.... Hatari sana hiiKijana anapenda uzuri, anataka apendwe.
Kupendwa ni jambo la heri sheikh wangu.... Binadamu unaekataliwa ujue hauna maana ya kuishi. Ukiona haupendwi ilo ni tatizo kubwa sana.Kijana anapenda uzuri, anataka apendwe.
Hii comment ya ukakasi umenikumbusha maneno ya hovyo ya black Americans...jamaa wana maneno machafu vibaya mnoSikujua najadiliana na katoto kazuri ka Sinza.....
Ila mama yako alikuwa girlfriend wangu kabla hujazaliwa...
Hili neno wanaume wa Dar nakumbuka lilianzia humuhumu Jf back in the days 2015..."Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.
Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa.
Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa, usafiri wanaotumia, mahali wanapoishi, starehe wanazofanya nk
Hii imepelekea kuwa na mvuto na nyota ya kupendwa na wasichana warembo na kiukweli mwanamke yoyote wa kisasa, mrembo mwenye kujiamini anakubalika basi ndoto yake ni ku- date na mwanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar wanapigwa vita sana ya maneno na walugaluga pamoja na wanawake 'reject'. Hii vita inasababishwa na wivu pamoja na chuki kwa sababu ya kuzidiwa maarifa na nyota.
Kuna washkaji wanaumia kuona wanatumia nguvu kubwa kupata wanawake wazuri ilihali wanaume wa Dar kwao ni kama kumsukuma mlevi. Watu wanagongewa sana mademu zao na wanaume wa Dar tena bila gharama watoto wanaelewa tu wanyamwezi swaga zao.
Kiukweli am so proud kuwa mwanaume wa Dar 🤣🤣🤣
Kwakifupi neno " WANAUME WA DAR" ni tafsida tu lakini watu humaanisha:-
1.WANAUME MASHOGA.
2.WANAUME GOIGOI
3.WANAUME WAOSHA KUCHA.
4.WASHINDIA CHIPS.
5.WAENDA GYM KUTAKA SIX PACK KUMBE WAFIRWAJI.
6.WANAUME WAOGA NA WASIO JASIRI.
Hao ndiyo wa wanaume wa Dar.
Sasa kama upo kwenye kundi hilo wewe ni mwanaume wa Dar bila kupindisha maneno.
Poverty trap ipi unazungumzia?Mpo kwenye Poverty Trap halafu mnajifariji kwa ukevi na starehe halafu mkizeeka mnaanza kutusumbua kwa kuomba omba na kutuita majina ya kila aina ooh Mtu wangu, Don, Mzungu, Mfalme nk
Kusanyeni hela maana ponds mali kufa kwaja ni hadithi za mkosaji View attachment 2366542
Chawa wa WCB leo umekuja kivingine kwa kuona kua ulikua unashusha humu thd za kumsifia Rayvanny ila sasa hivi unashusha thd za kumponda Rayvanny!
Njoo huku mbele tutengeneze Dollars acha kua chawa wa wanaume wenzako,umri haumsubiri mtu.
Wanaume wa Dar Unyakyusa mwingi sana.....tunakamata tu milupo ya wa mikoani... Unyama sana....."Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini.