Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

Mkuu wewe unajua vizuri balaa la mwanaume wa Dar mkifukuzia demu mmoja... Unatuita upinde ila mademu zenu beki hazikabi tukija mikoani wanapenda mpaka kiswahili chetu 😅😅
Kuja siku moja trafiki kanipiga mkono mitaa ya KIA hapo nilikua naelekea Arusha...sawa nilizidisha spidi ila nilivyoanza kujielezea jamaa akadakia "weeewee ni wa daar" nikaitikia ndio wa Dar lakini huku nimekuja kutafuta..namwambia kula basi hii 5 niachie mzee anarudia rudia tuu "weewee ni wa dar" hadi nikamtania ndio wa Dar vipi mnataka tuwe tunakuja na passport huku mikoani ama...🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu wewe unajua vizuri balaa la mwanaume wa Dar mkifukuzia demu mmoja... Unatuita upinde ila mademu zenu beki hazikabi tukija mikoani wanapenda mpaka kiswahili chetu [emoji28][emoji28]
Yani mademu wa mikoani wakijua mwanaume ametoka dar kuachia mzigo Fasta tu .
 
Unatokea dar sehemu gani ewe mwanaume wa dar?
 
Kazi ipo!!
 
Definitions ya wanaume "Kula kwa jasho na kuchakalika ",hivyo vyengine ni nyongeza.

Sababu mwisho wa siku utaheshimika kwa ulivyo navyo na ulivyo vitafuta,huo uzuri sijui kujipamba kuna mwisho tena kwa mtoto wa kiume ukiendekeza watahisi UNAWALAKINI.
 
Wanaume wa Dar tunawapigia mademu sana pamoja na kutafuta kwenu kwa jasho
 
Kwahio wanaume mnabishana na mtoto mzuri wa sinza
 
Nimekwambia wewe mchaga uliyekuja mjini utu uzimani haujafuzu kuwa mtoto wa mjini. Relax mkuu ni utaratibu tu huu
We mjini umekuja wakati watu washahama ndio ujiite mwanaume wa Dar? Hizo upuuzi mnafanya saa hii watu wamefanya miaka ya 90 ukiwa unakojoa bandani huko kwenu.
Km hata ulikua umezaliwa.
Perfume, gari, nguo ni vitu vya lazima we kuku.
Sio vitu vya kujidai hayo ni matumizi ya kila siku km kula wali maharage.
Una miaka mingapi kwanza?
Umekula?
 
Eti "wanawake reject" 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa hao wanawake reject ndo wamejaa humu, masingo mama na malesbian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…