Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Siyo atauza kidogokidogo apate hela za marejesho ya vicoba/village community bank?
 
Unajua hata ile tabia ya mke kwenda dukani kila mara kununua rejareja haipendezi, mara unga kilo, mara mafuta kijiko kimoja, mara mchele nusu, ni aibu. Nyumba inatakiwa ijazwe stock ya kutosha kula kuanzia miezi miwili hadi mwaka mzima. Jaza mpaka friji madikodiko yajae huko, dukani safari zipungue.
 
Wengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
Kabisa kuna wanawake vilaza ambao hawajelew kabisa mkuu
Mme anahastle kuweka stock ya chakulq na mahitaji ya muhimu ili familia isipate shida na watoto Ila yeye anagawa vitu hovyo kwa mashoga zake hadi vinaisha
Unabaki kujiuliz vimeishaje na yeye Hana habari tena anajikausha Kama hajui alichokifanya
 
Kama matunda ya hy biashara itarudi kwenye familia bc hakuna shida
 
Hapo umeishapigwa! Maregendary tunajua!
 
Sio rahisi kiivyo wengi wenu mnanunua kwa kibaba heri yetu wa kwamama ntilie.
Sio wote wananunua stock! Lakini amini ninachokwambia, wanaume hatupendi kusumbuliwa mara hiki hakuna, tuna nunua kwa stock kubwa ila baada ya wiki mbili hakuna kitu na kwa wafanyakazi tarehe za mshahara bado mbichi, unadhani kuna ndoa hapo?😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…