Bila shaka Mjukuu, Wazee wenu tutafanya hivyo ili kunusuru Ndoa zenuππ₯°
Ongeeni na vijana jamani, kama ugali nao ni kitu cha kumsimanga mtu ni heri wabaki kuishi kwao
Pamoja sana bestie... π π π πStress za upweke na kazi nyingi i guess dose inakaribia kuisha i feel better now Asante bestie wangu kwa kunijulia hali
Be blessed π€β€οΈπ°
That's it.Aenjoy mavituzzzzzz π€£π€£π€£π€£
We m$enge nini, acha ujinga mimi nakujulia wapi? πΏUsimruhusu apige story na akina Lamomy Binti Sayuni03 na Mshangazi dot com maana wakimweleza habari yangu anaweza kukutosa na kuja kunikimbilia ili naye a-enjoy mautamu ambayo mimi hugawa.
Anha! Sawa hapa jukwaani hunijui siyo? Na kule kwingine usinijue!We m$enge nini, acha ujinga mimi nakujulia wapi? πΏ
πΉπΉ Unatamani kunijua mwenyewe ila ndo haiwezekani mama ndege wa ubongo kids π€£Anha! Sawa hapa jukwaani hunijui siyo? Na kule kwingine usinijue!
Hahaha πΈπΉπΉπΉ Unatamani kunijua mwenyewe ila ndo haiwezekani mama ndege wa ubongo kids π€£
Hivi emoji ya πΉ mnaipenda? Naona ss hivi wengi mko busy kuitumia..!! πΉπΉHahaha πΈπΉ
Tunakuiga wewe.Hivi emoji ya πΉ mnaipenda? Naona ss hivi wengi mko busy kuitumia..!! πΉπΉ
πΉπΉπΉTunakuiga wewe.