Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

siku ya leo naona nimbaya sana kwako pole sana sis naona unapigwa za uso pande zote 2
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!
 
Upo mkoa gani??nipo arusha sh.ngapi ya mafuta itatosha ufike ?
 
...huu utapeli mbn umepitwa na wakati ,ooh nitumie hela ya mafuta,nyoo,sema uko wapi tukutane
 
We mwenyewe mwanamke hewa !!unataka uwekewe mafuta na mwanaume usiyemfahamu?
 
Mpaka waandike verified user kwanza ndo nita comment mawazo yangu
 
Soma mada vizuri. Hapa nazungumzia wanaume wa JF. Mtu anataka tuonane halafu gharama ya mafuta juu yangu
Kama hupendi kupoteza mafuta yako si umwambie akufuate badala ya kukimbilia kudai hela,kwani kuonana lazima wewe umfuate?
 
Usipanic Jane, wanaume walio kwenye hii forum wako Busy na matatizo ya Nchi sidhani kama wapi kwa ajiri ya dating, ungejaribu kucheki kwingine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…