Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Usilaumu wote kwa kosa la mtu mmoja
 
Mungu alimuumba mwanamume na mwanamke, naye alianzisha ndoa ili iwe muungano wenye heshima kati yao. (Mwanzo 2:18-24) Pia alimpa mume na mke majukumu ambayo yanaweza kuwaletea shangwe nyingi zaidi.—Kumbukumbu la Torati 24:5; Methali 5:18.

Biblia inatambua Mgawanyo wa majukumu na nafasi ya mwanaume na mwanamke tangu mwanzo!Na ktk uumbaji mungu aliwaweka pamoja,angeweza kumuweka adamu kaskazini na hawa kusini. Single moms wanabeba majukumu ya baba na mama kwa wakati mmoja.Na malezi yao siku zote kwa watoto wao yanamapungufu kwa kujua au kutokujua.Moja ya athari za malezi ya single moms ni ndoa za watoto wao,kuna ukweli kwamba ndoa za watoto walio lelewa na mama pekee ni ndoa ngumu sana(jaribu kuchunguza). Ni hii inakuwa urithi wa kizazi na kizazi.

JIEPUSHE KUZAA KABLA YA MUUNGANO RASMI NA MWANAUME
 
Ni kweli kwa sbb hawana option nyingine zaidi ya wao kukomaa/kuwa strong.But still wako weak kutokana na upweke ndio maana walio zaa nao wanaweza kulala nao anytime.
 
Kuoa single maza ni sawa na kulicheza saved game na kusherekea ushindi.
 
Kwanza sijui nn kimeandikwa on single moms lakini as a man siwezi hata siku moja kushambulia hao as a group. Zipo individual cases tena katika pande zote, wababa na wamama sasa tusijumuishe !

Kama kuna single mama humu ambaye anapenda rafiki wa kubadilishana mawazo au vent on, tuwasiliane binafsi.
 
Ninawafahanu single mothers wa humu, kuna wengine niliwadhania ni vigori kabisa kumbe nao tayari....
Hahahaaa
 
Ninawafahanu single mothers wa humu, kuna wengine niliwadhania ni vigori kabisa kumbe nao tayari....
Hahahaaa
Mwenye akili ya matope anaweza waza hivyo, JF ni ya rika tofauti kwa wanaojitambua, hivyo usitegemee kwamba wote ni vigori
 
Na wewe bila DNA utaishia kulea watoto wa wenzako na uzeeni kuongezewa mijukuu isiyokuwa na Baba, historia huwa inajirudia nakuombea maisha marefu uyashuhudie hayo
Sio mmoja hawa wawili niliowazalisha sio wachoyo ninapohitaji wanipe penzi japo tumeachana.

Pamoja na nilichowafanyia lakini nikisema njoo nyumbani tupeane pale kati wanakuja haraka.
 
Ni kweli kwa sbb hawana option nyingine zaidi ya wao kukomaa/kuwa strong.But still wako weak kutokana na upweke ndio maana walio zaa nao wanaweza kulala nao anytime.
Kwa taarifa yako ni wachache wako hivyo, pili kuwa mpweke ni uamuzi wa mtu.
 
Na wewe bila DNA utaishia kulea watoto wa wenzako na uzeeni kuongezewa mijukuu isiyokuwa na Baba, historia huwa inajirudia nakuombea maisha marefu uyashuhudie hayo
Nimefanana nao watoto wangu ukiona ni photocopy.
Siunajua watoto wa kukataa mimba wanavyofanana na baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…