Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
- Thread starter
- #261
Usilaumu wote kwa kosa la mtu mmojaSingle mother alichonifanyia siri yangu,hadi leo sina mapenzi ya kweli kwa wengine.
Nimekuwa wa kubadilisha wanawake kila siku hadi sasa na kwa bahati mbaya nimejikuta nazalisha wanawake wawili.
Nimeongeza single mother wawili tena wakati sitaki kuwaoa,nitaoa ambaye hajazalishwa.
Kaa mbali na single mother ni sumu kali.