Wanaume wa Jf walivyo!...

Ila hamna wanaume wa kusema wana ubaya huoo bwana. Labda nliowaona mie. Ila hamna mwenye sura ya hamo kwanza wa humu wana ukaka fulani hivi. Hata mtu akiwa sio handsome anakua na personality flani hiviiiii.
 
Afu yule uliyuweka sa hivi ana chura balaa. Fanya kufanya # yake tumuwish valentine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koma kuchungulia status zangu we kaka. Halafu nilikwambia sina rafiki asie na chura. Umeamini eeh. Kwanza birthday yake leo fanya jambo tumpeleke hata Great Wall akale dinner basi.
 
Je wewe mama sabrina unamvuto au na wewe ni kigagula halafu unataka handsome boy[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…