Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
Au ulikuwa kuleeeee Simba kananii???Dah... Thread makini hii... Ilinipita wapi sijui..
Thanks Lizzy...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ulikuwa kuleeeee Simba kananii???Dah... Thread makini hii... Ilinipita wapi sijui..
Thanks Lizzy...
Au ulikuwa kuleeeee Simba kananii???
Haahahaaaa sawa
Vipi jk kakusahau?
Teh hakawii kukufanya mkuu wa mkoa mpya wa Mafia lolAh kaniambia.. Niwe mtulivu.. Atanipa kuwa Mkuu wa Mkoa...
Ndo nasubiria..
Teh hakawii kukufanya mkuu wa mkoa mpya wa Mafia lol
Hakuna hata mtandao wala network jf ndio kwishiney
Ngoja tukutafutie mtu umguse uone kama utachomoka....Mnaposema HOT mnamaanisha mtu ambaye nikimgusa naungua?
Sasa mimi sijamgusa yeyote hapa, nitajuajee?
Teh ila kwa namna anavyojua kulinda atakulinda kweli gambachovu naamini anaweza kukupeleka kule Wete ukawe mkuu wa mkoa wa kaskazini PembaJF forever mkuu! Katika CV yangu anatambua na nimeonyesha kuwa mi ni active member wa JF... So atanilinda..
Teh ila kwa namna anavyojua kulinda atakulinda kweli gambachovu naamini anaweza kukupeleka kule Wete ukawe mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba
Lol
Gee Cee kwisha habari
Ngoja tukutafutie mtu umguse uone kama utachomoka....
Ndio utakuwa ushafika mazima....
Please wait....
JM yuko Hot wengine wanashikilia mkia:alien:
Hahahaaaa ukichagua Lindi inabidi ujiandae kuwa katibu mwenezi wa Magamba United na ukichagua Pwani jiandae kuwa Kuwekewa Kifuu cha nazi kichwani kama yeye na ukichagua Dar mh jiandae kuhamia mitaa ya naniii.........Kanitumia sms.. Akiniambia nichague Lindi,Pwani au Dar... Nimemwambia anipe nusu saa.. Akajibu ," ..Fanya fasta...!"
JM? Sijamjua bado lolJM yuko Hot wengine wanashikilia mkia:alien:
Hahahaaaaa hivi kumbe mi nilikuwa sijaweka hadharani....Duh aisee nilidandia treni kwa mbele kumbe mada ya mabinti hii mimi nikajua kwa wote.
Well kwa mabint tuki base kwenye picha mimi naona Mwali, Prita,nk wapo wengi picha zao zina mvuto ila sijui kwenye maisha ya kweli.
Hahahaaaa ukichagua Lindi inabidi ujiandae kuwa katibu mwenezi wa Magamba United na ukichagua Pwani jiandae kuwa Kuwekewa Kifuu cha nazi kichwani kama yeye na ukichagua Dar mh jiandae kuhamia mitaa ya naniii.........
Hahahahaaaa anaenda sana Tam tam ....we mtafutie kitu moja ya ukweli utaona anakupa ubunge faster the uwaziri chapNimemwambia Dar.. Kanipigia akasema alitaka aweke mwanamke safari hii,lakini basi atanipa.. Nafikiria zawadi gani nimpe..hivi mkulu huwa anashobokeaga vitu gani zaidi...
Wanashikilia mkia wa nani? Wa huyo JM au...!