Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Mnaposema HOT mnamaanisha mtu ambaye nikimgusa naungua?

Sasa mimi sijamgusa yeyote hapa, nitajuajee?
Ngoja tukutafutie mtu umguse uone kama utachomoka....
Ndio utakuwa ushafika mazima....
Please wait....
 
JF forever mkuu! Katika CV yangu anatambua na nimeonyesha kuwa mi ni active member wa JF... So atanilinda..
Teh ila kwa namna anavyojua kulinda atakulinda kweli gambachovu naamini anaweza kukupeleka kule Wete ukawe mkuu wa mkoa wa kaskazini Pemba
Lol
Gee Cee kwisha habari
 
Last edited by a moderator:

Kanitumia sms.. Akiniambia nichague Lindi,Pwani au Dar... Nimemwambia anipe nusu saa.. Akajibu ," ..Fanya fasta...!"
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tukutafutie mtu umguse uone kama utachomoka....
Ndio utakuwa ushafika mazima....
Please wait....

Duh aisee nilidandia treni kwa mbele kumbe mada ya mabinti hii mimi nikajua kwa wote.

Well kwa mabint tuki base kwenye picha mimi naona Mwali, Prita,nk wapo wengi picha zao zina mvuto ila sijui kwenye maisha ya kweli.
 
Kanitumia sms.. Akiniambia nichague Lindi,Pwani au Dar... Nimemwambia anipe nusu saa.. Akajibu ," ..Fanya fasta...!"
Hahahaaaa ukichagua Lindi inabidi ujiandae kuwa katibu mwenezi wa Magamba United na ukichagua Pwani jiandae kuwa Kuwekewa Kifuu cha nazi kichwani kama yeye na ukichagua Dar mh jiandae kuhamia mitaa ya naniii.........
 
Duh aisee nilidandia treni kwa mbele kumbe mada ya mabinti hii mimi nikajua kwa wote.

Well kwa mabint tuki base kwenye picha mimi naona Mwali, Prita,nk wapo wengi picha zao zina mvuto ila sijui kwenye maisha ya kweli.
Hahahaaaaa hivi kumbe mi nilikuwa sijaweka hadharani....
Lol Amyner tu sitaki ugomvi mtoto wa kiume Lol hapo ndio full stop
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa ukichagua Lindi inabidi ujiandae kuwa katibu mwenezi wa Magamba United na ukichagua Pwani jiandae kuwa Kuwekewa Kifuu cha nazi kichwani kama yeye na ukichagua Dar mh jiandae kuhamia mitaa ya naniii.........

Nimemwambia Dar.. Kanipigia akasema alitaka aweke mwanamke safari hii,lakini basi atanipa.. Nafikiria zawadi gani nimpe..hivi mkulu huwa anashobokeaga vitu gani zaidi...
 
Hahahahaaaa anaenda sana Tam tam ....we mtafutie kitu moja ya ukweli utaona anakupa ubunge faster the uwaziri chap
 
Back
Top Bottom