Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Jizungumzie wewe sio hawa waliojazana kwenye uzi wa kwenda majuu, hao lolote wanaweza kufanya ili mradi atoke kwenye shithole country
 
Dr wangeenda wanakimbia wasituchoshe......nani anapenda umasikini bwana!!!!!?¿
SEMA tu zao la wanaume wa kiafrika hasa tanzania kwa sasa ni shida tupu.
Umeona eeh, mimi nawajua hawa wala hawanipi shida, nawajua uzuri wasingeweza kuchomoa, chezeya mzungu weweeeee, VISA hii hapa🤣🤣🤣
 
Upo sahihi kabisa.
 
Hahaa umemaliza ,angekuwa Mzungu wa kike halafu afanye vile angejaza SGR na hata Camera yake angeweka 999 Terabytes kwa ajili ya stored za clips.
 
Umeona eeh, mimi nawajua hawa wala hawanipi shida, nawajua uzuri wasingeweza kuchomoa, chezeya mzungu weweeeee, VISA hii hapa🤣🤣🤣
Hapana chezeiya!!! Ikiwa mishangazi tunasumbuliwa kw mzungu wangemlilia kabisa!!!!
Hapa wangekuwa wanaulizana ' washkaji eeh nipeni mbinu za kumdatisha mzungu nataka anitoe bara la Giza huenda nitatoboa!!??
 
Kwa hapa wote mtajifanya mnakataa ila kuna uzi humu humu wanaume wanalilia chimbo la wazungu, wahindi na waarabu, jamani anayeweza kupata access ya ule uzi aufufue ili watu waumbuke hapa.

Kitendo cha hovyo ni cha hovyo tu, haijalishi kimefanywa na mwanaume au mwanamke, wala mzungu au mbongo.

Ni cha hovyo tu.
 
Wapo wanaume kibao wanaolelewa na wazungu.

Ni kwamba tu kuna ile dhana potofu kwamba mwanamke akiwa kicheche ni vibaya/ajabu kuliko mwanaume.

Mbali na hayo hakuna cha ajabu kwenye hii case.

Halafu punguza kufoka Dr. utaumwa presha.
 
Ungeandika Wavulana badala ya Wanaume ili isionekane kua umetujumuisha wote,

Uvulana hauondoki kwa kua na umri mkubwa bali kwa tabia za kiume,unaweza ukawa na umri mkubwa ila ukawa mvulana na unaweza kua na umri mdogo ila ukawa Mwanaume.

Being gentleman is defined by character,actions and maturity rather than age,maturity level is shown through their attitude,behavior and how they handle life,
A gentleman is marked by courtesy,honesty and responsibility not just seniority.
 
Umeongea kweli 💯
 
Jizungumzie wewe sio hawa waliojazana kwenye uzi wa kwenda majuu, hao lolote wanaweza kufanya ili mradi atoke kwenye shithole country

To me hamna conversation tamu kama kutongoza aisee! Ni sanaa tamu sana

Na anayesumbua ndo mtamu ile mbaya, huko ninteen kweusi wakati tunasoma secondary yani unaonana na gal likizo hadi likizo, nishawahi kukesha kwenye migomba hadi asubuhi yani unaongea na binti kwa dirishani yani mzee wake mkali, binti anavizia mzee azimike ili achomoke anikute nje, na ikawa hola hadi kunakucha😛😛

Nilikula mbu wa kutosha yani siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…