Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Alijua utabiri wa mchungaji umetimia maskini,

Yote kwa yote hata kaka zetu wa hapa wanaabudu wazungu ni vile tu wazungu wanawake ni nadra kusafiri wenyewe ukilinganisha na wanaume
 
Daah! Nimesikitika sana kumbe wakina Epstein wapo kila sehemu🤨 natumaini lilikufa vibaya
 
THANK YOU, ungekua karibu ningekupa bonge la busu,
Umemaliza kila kitu mwenye sikio na asikieeeee
 
Mwaaaaaaah! wanaume wachache kama nyie mnaojitambua mnapaswa kulindwa kwa mitutu ya bunduki😃
 
Hakuna asiyejua njaa ndio zilizopelekea dada zetu wakashawishika kirahisi namna ile,

Wanawazalisha wanawakimbia na kuwaacha wakilea watoto peke yao, wanakaa kwenye kona na kuanza kuwasimanga ni single maza, kajitokeza mzungu mshenzi amewaahidi mema, yametokea ya kutokea wanaitwa malaya, daah naimani mfumo dume utakuja kuisha kwenye hili bara giza.
 
Mrusi kawaumbua sana wanawake. Wanatembea na chupi mkononi wapo tayari kuzivua hata kama hawajabanwa na mkojo.
 
Kama kawaida acountability inawashinda. Kutwa kujifanya strong and independent, mkishafanya maamuzi mabovu ndio mnajifanya victim na kujaribu ku-divert lawama kwa mwanaume. Waliozingua ni wanawake, wachambe wanawake wenzio

na kitu kingine kama ulikua haujui, linapokuja suala la promiscuos jamii haiwahukumu mwanaume na mwanamke kwa kipimo kimoja. Kipimo kinachotumika kwa mwanamke ni kikali zaidi. Thats nature, nature don't negotiate with feminism.
 
Wee mwenyewe Malaya sugu unagawa mpaka ****** nani asiye kujua wewe
 
Mwanaume Gani aitwe geto na mwanaume mwenzake aende???? Labda huyo mfirwaji mwenzako mwenye tabia kama zako cocastic

Wewe wa kujiita Dr. Mariposa na huyo mwenzako ndo mumezoea hiyo michezo ya kuchezewa matopeni mnataftiana mpaka mabwana, mtu na shosti ake wote warembo tuuu wa kufukuliwa mavi mkunduni
 
Hapo ni vile huyo mrusi hakutaka wanaume lasivyo tungeshuhudia mapya..!!
Wangejitokeza hawa wanaume kwenda kuwekwa wanawake wengi wangekimbia ndoa zao..!! 😹😹😹
 
Wanaume mrusi angewatongoza msingekataa wote mngeenda muwekwe shenzy nyie..!! 😹😹😹
Na mlivyo na njaa sasa sijaona hata wa kukataa hapa wote mnaotoka na mapovu mngejipeleka mxieeeeww..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…