Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?

Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?

Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,

Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!

Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,

Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.

Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,

Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)

Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.

Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. 🍿🥤⛱️
Mambo mawili,
Mtu mweusi(wa, bara la Africa) hujisikia mnyonge mbele ya mzungu, tuna inferiority complex.
Hii ni regacy ya ukoloni,
Pili sie wa Swahili huusisha, weupe(uzungu) na, ukwasi,
Dada zetu wanafata fweza, kama kuna malaya wa kike, hata wa kiume wapo pia, wanaume wanajiuza Sana kule zenj kwa vibibi vya kizungu, bottom line ni umaskini wetu
 
Exactly na ndio msingi wa hii mada na kingine kama ni muathirika kama wengine wanavyodai, kama kawaambukiza hao wamama zaidi ya 100 je huo Ukimwi utaishia kwa hao wamama peke yao? jamii itabaki salama? huyu mshenzi amenikumbusha enzi za Jangwani sekondari nasikia kuna mzee aliitwa 'Kaumba' nipo tayari kukosolewa, aliwasambazia VVU watoto wa shule hiyo kama wote,

Mshana Jr naomba utuwekee kumbukumbu sawa kwenye hili
Aliitwa Maumba.. Alikuwa fundi cherehani
Maumba aliwanajisi watoto wa shule ya mnazi mmoja na mtendeni ndio waliokuwa wanaenda kwa Maumba fundi wa kushona nguo karibu na ofisi ya kata ya mchafukoge.

alikuwa akiwashika wanafunzi wa kike matiti ilikuwa na bei yako,
makalio na bei yake.
akila mzigo mbele na bei yake
kulawiti ilikuwa na bei yake!

wanafunzi wakitoka huko wanaenda kununua mihogo kwa said mihogo baharia na juisi ya ukwaju kwa kidevu pale shule ya msingi mnazi moja.

Wanafunzi wa kike walipata shida kwa kutaniwa hasa tuliokuwa wanapanda daladala wakitoa shilingi moja konda anasema kuwa wana pesa kwakuwa bwana woa si maumba.!Hii ilikuwa miaka ya 1988/89.
 
Mmh nimeona, 50k imewatoa watu udenda, wengine wanajitilisha huruma, wengine wanalalamika emails hazijibiwi, wengine wana bembeleza kufunguliwa inbox hehehehe wanaume wa kibongo haooooo...hapo mbongo mwenzao angekua yule Mrussia je si ingekua mtafutano na mtifuano😂😂😂
Akiwatajia tu Mercedes wote wanakimbilia kulee😅😅 kuna wengine tunawaheshimu vzr tu na id zao🫢
 
Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?

Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?

Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,

Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!

Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,

Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.

Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,

Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)

Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.

Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. 🍿🥤⛱️
Ila kuna kuitwa halafu kuna kunyooshewa kidole kama mtu anachagua ng'ombe 😂😂😂
 
Wazazi hawakukosea waliposema ukitaka kuoa, angalia na kabila gani unaoa!

unaweza ukapata binti mzuri kabisa! Shida inakuja NI MJALUO!

ONA SASA ALICHOKUWA ANAKIFANYA Hii MANZI ya KIJALUO KWA MRUSI... MANZI ALIEJITANABAISHA MWENYEWE!
1000082823.jpg
KAMA MJALUO!

WaLuo mtanisamehe!
 
Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike anapoenda au jioni mkutane kwa chakula cha usiku hutatoa namba au kumfata kama zombie kasikia harufu ya damu?

Jitafakari tu mwenyewe, na mkomwe wako kama bus la Tahmeed, na kunuka kwako kibeberu bado mzungu amekusifia hutamfata wewe au kwa vile jambo limetokea kwa wanawake basi ndio makasiriiiiiko, na kwanini wanaume wa Kiafrika hasa wa Tanzania mnafurahi sana jambo baya likimkuta mwanamke? ni wivu kua somehow mnatamani kua wao ama nini?

Mnashindwa hata na kuku ikitokea jike anapatwa na shida jogoo humdefend kwa haraka sana,

Kuna michokoraa mingine humu humu inadiriki kusema "wanawake WOTE Malaya" yaan hapo amemjumuisha mama ake alomzaa kwa uchungu na bibi ake alosababisha mama ake akazaliwa na yeye bichwa box likazaliwa, laiti kama hao wazee wake wangejua kua litoto lao linawaona Malaya tu kisa wamemzaa! mama wa watu angebana miguu wakati linatoka akajipunguzia maumivu ya kuchanwa uke na mbichwa wake mkubwa na bado uzeeni amuite malaya, aibu yenu!

Kwenye dunia hii mbaya ilojaa wakina Epstein na kina Mrussia badala ya kufurahia wanawake zenu kudhalilishwa namna ile na 'mzungu' mlipaswa muungane kwa pamoja kupinga huo udhalilishaji, unyanyasaji, ukandamizaji, ubaguzi wa rangi, wote kwa sauti moja tungekemea ili watoto wetu wa kike waishi kwa usalama,

Hapo hapo tungezigeukia serikali zetu zinazoendesha nchi kidhalimu bila kujali hali za kipato kwa wananchi wao, umaskini wa kupindukia ndio unafanya wanawake na vijana kujiingiza katika mambo hatarishi,
tumeona yule dada Mghana anayeishi Newyork alivyomkataa Mrussia, kwanza sababu ana exposure pili ana pesa zake, wengine wote walidumbukia kirahisi wakiamini umaskini wao utaenda kumalizwa ama kupunguzwa kabisa.

Aibu yenu pia viongozi wa Afrika na aibu zaidi kwa serikali ya Kenya kwa kushindwa kusema neno kupitia sakata la huyo mpuuzi,

Tukirudi kwenu nyie mnaojiita wanaume lakini mmekosa kariba ya kiume, mmekua watu wa vichambo, bullying, kejeli na matusi dhidi ya wanawake zenu (hata hapa mtakuja na mkianza vichambo vyenu haraka mzitoe kende mzining'inize paleeeee, niwape madera ili mchambe vizuri)

Mrussia huyo huyo angewaita mngeenda na hotelini kwake mngefika, hayo mengine sijui sasa kama yangefanyika au mngekaza lol, ila kwenda mngeenda acheni unafki.

Nipo na popcorn zangu hapa na mwamvuli. 🍿🥤⛱️
KUTAFUNA na KUTAFUNWA ni tofauti.
 
Uliona wapi Mwanaume akadhalilishwa kingono?
 
Ila kuna kuitwa halafu kuna kunyooshewa kidole kama mtu anachagua ng'ombe 😂😂😂
Ameedit zile videos bhana, behind the scene alikua anawaahidi mambo makubwa ndio maana walikubali
 
Wewe labda hujui tu Wakenya wanavyoabudu wazungu.

Kuna bidada mmoja akisema yeye alikubaki kirahisi kwa sababu mchungaji wake alimtabiria kuwa ataolewa na mzungu.

Hiyo ilikiwa ndoto ya mtu tayari, alivyoona kanyooshewa kidole tu, akasema hapahapa ndo natimiza ndogo yangu.
 
Back
Top Bottom