Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua
Akikujibu naomba unitagAneyoona kwanza ndio anagundua au anayepelekwa?
Livingstone hakufika ziwa Victoria na alifariki 1873 kule Chitembo mpakani mwa Zambia na Tanzania.Kuna ujumbe kiasi kwnye bandiko lako ingawa ni andiko ahistoricalWadau hamjamboni nyote?
Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
View attachment 3193895
Mkuu,Livingstone hakufika ziwa Victoria na alifariki 1873 kule Chitembo mpakani mwa Zambia na Tanzania.Kuna ujumbe kiasi kwnye bandiko lako ingawa ni andiko ahistorical
Hao si wanapangiwa cha kusema mkuu?Kuna kongamano nilipata nafasi ya kuhudhuria Ila nilishangaa kumuona Dr yule wa TBC anaitwa RObya akiwa na Picha Kama hizo huku akilalamka kuwa hali yetu ngumu ni zao la hao wakoloni miaka zaidi ya 60

Hivi huyu Livingstone alikuwa anawalipa au alikiwa anawapa Sound tu wenyewe wanakubali kumbebaWadau hamjamboni nyote?
Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
View attachment 3193895
Huu ni uchokozi.Wajaluo wenyewe wanasemaje?
Yale yale ya "Maagizo Kutoka Juu" by E. Kabendera kutuhabarisha Sokoine alifariki 1983!Livingstone hakufika ziwa Victoria na alifariki 1873 kule Chitembo mpakani mwa Zambia na Tanzania.Kuna ujumbe kiasi kwnye bandiko lako ingawa ni andiko ahistorical
Akiwapa pombe,nguo,viatu,biskut na ujira kidogo tuHivi huyu Livingstone alikuwa anawalipa au alikiwa anawapa Sound tu wenyewe wanakubali kumbeba
Jamaa alikuwa anaLombana sana.... usikute hapo usiku kucha kakesha anaLombana tu!🤣🤣afu ni kama wanamlazimisha,mbona kalala?