Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.

1736141166819.jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.

View attachment 3193895
Livingstone hakufika ziwa Victoria na alifariki 1873 kule Chitembo mpakani mwa Zambia na Tanzania.Kuna ujumbe kiasi kwnye bandiko lako ingawa ni andiko ahistorical
 
Mkuu,

Shukurani kwa kuandika hivi, maana niliona kuna kitu hakiko sawa hapa nikataka kufungua vitabu vyangu vya Henry Morton Stanley ambavyo amemuongelea Livingstone sana.

"How I Found Livingstone" by H. M Stanley and "Stanley : The Impossible Life of Africa's Greatest Explorer" cha Tim Jeal.
 
Kuna tofauti kati ya kuliona, kuliangalia na kulifanyia uchunguzi wa chanzo chake, na ni kitu gani. Geographically (Lake, Ocean, River au ni Mizimu / bakuli la Mungu)

Hata wewe leo ukija na kufanya tafiti zako na kusema this was never a lake but a river, tutakusikiliza... Na mara nyingi hizi huwa ni jitahada za watu na sio mtu mmoja

If I have seen further than others, Is by standing on the Shoulders of the Giants...
 
Kuna kongamano nilipata nafasi ya kuhudhuria Ila nilishangaa kumuona Dr yule wa TBC anaitwa RObya akiwa na Picha Kama hizo huku akilalamka kuwa hali yetu ngumu ni zao la hao wakoloni miaka zaidi ya 60
Hao si wanapangiwa cha kusema mkuu?
 
Kuna kongamano nilipata nafasi ya kuhudhuria Ila nilishangaa kumuona Dr yule wa TBC anaitwa RObya akiwa na Picha Kama hizo huku akilalamka kuwa hali yetu ngumu ni zao la hao wakoloni miaka zaidi ya 60
Hao si wanapangiwa cha kusema mkuu?
 
Livingstone hakufika ziwa Victoria na alifariki 1873 kule Chitembo mpakani mwa Zambia na Tanzania.Kuna ujumbe kiasi kwnye bandiko lako ingawa ni andiko ahistorical
Yale yale ya "Maagizo Kutoka Juu" by E. Kabendera kutuhabarisha Sokoine alifariki 1983!
 
Back
Top Bottom