Msujudie mtume4:3 Qur'an 😊👋🚶♂️
Kwan nani kakuzuieni?
Makanisa hayawezi kubaliKwan nani kakuzuieni?
Kwa waislam kuna hicho kipengeleUna hoja, ijapokuwa pia kiwekwe kipengele ili uweze kuoa mke mwingine lazima ifanyike tathmini ya uwezo wa mwanaume husika kuweza kuhudumia wake zake wote kwa haki na usawa
Kama waliweza kuruhusu ndoa za jinsia moja nahisi hili pia wataliruhusuTumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo itasaidia kupunguza uzinzi na uasherati na kuepuka migororo ya ndoa inayoleta madhara kama mauaji, vilema n.k
Sijajua, ni mapendekezo yangu tu mkuu.Kwa waislam kuna hicho kipengele
Pitia hapo ukapate ujumbe ulonyookaMsujudie mtume
Takbir
Hizi dini waumini wake ni wanafiki sana, ndiyomaana huwa nasema kila siku imani ni mtu binafsi wala haihusiani na dini.Kwan nani kakuzuieni?
Nyie wote hamna diniMakanisa hayawezi kubali
Kweli kwasababu wanaotapeli na kutapeliwa wote ni wanandoa na wanaoiba na kuibiwa wote wapo ndoaniKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI KIFO
Na ruhusa hii iwe sambamba na kuachana, ili waumini waishi kwa amani.Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda
Hallelujah
Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia
Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo itasaidia kupunguza uzinzi na uasherati na kuepuka migororo ya ndoa inayoleta madhara kama mauaji, vilema n.k
Hujui kutofautisha kat ya dini na mtu binafsi.Hizi dini waumini wake ni wanafiki sana, ndiyomaana huwa nasema kila siku imani ni mtu binafsi wala haihusiani na dini.
Jitu lina Ke mmoja wa ndoa ila lina Serengeti girls kontena zima, ana tofauti gani na wale wasiokula mdudu ilihali ukitembelea wauzaji nyakati za mifungo hulalamika biashara kudoda?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hilo nalo muhimu sanaHapana, iruhusiwe talaka
Hakika kwenye hili nakiriPitiable hapo ukapate ujumbe ulonyooka
Wewe tatizo umeliona leo wakati dawa ilijulikana karne 14 huko nyuma
Uislam uko kwenye muda na upo mbele ya muda