Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

Kwanza hao wanapenga kitimoto kaukau na chachandu balaa
Wanasema Haramu tamu
 
Makafir mtauana sana tu, mauji yote yaliyotokea mwaka huu ni makafir yaliyoshindwana lakn yanang'ang'ania kukaa pamoja kwa kigezo cha tapel paulo mwisho wa siku yanatoana roho
 
Hujui kutofautisha kat ya dini na mtu binafsi.
Uislamu umekataza kumsalia mtu mnafiki atakapokufa
Dini haina kona,mtu ana kona nyingi na unafik

Kwanza hao wanapenga kitimoto kaukau na chachandu balaa
Wanasema Haramu tamu
Umenielewa sana mkuu, dini tulizoletewa na majahazi zisitufanye tujione malaika sana kumbe hatuzitendei haki hata kidogo ingawa ziko sahihi kutuongoza tuwe wastaarabu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Oa Hata Wake 10 Maana Hakuna Atakayekuzuia Kamwe
Nakupenyezea Tu Hawa Viongozi Wetu Wanao Tele Bila Kujari Dini
*Angalizo Hata Hao Unasema Dini Zao Zimeruhusu Hakuna Mwanamke Anayekubali Hilo Na Ukimtamkia Tu Vurugu Zinaanza

Unaweza Kukuta Mwanaume Kafa Chap, Chini Hakufanyi Kazi
Ni Visa Na Mikasa Siyo Yote Yanasemwa, Mengine Hubaki Sirini
 
Una hoja, sio unajifanya mke mmoja lakini pembeni una vimada kibao, na pia Wale viongozi wasioruhusiwa kuoa waoe, na kuolewa...kesi ya kubokoa watoto makanisani zimekuwa nyingi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…