Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Tuma picha tuone kimo chako,labda wanakusingizia ww sio mfupi.
 
Uko sahihi kabisa
 
Anko mloka mnapanda sana milima tatizo mwweeeee.mna roho ya kotsopata, kotsojidai
 
Watu wafupi tuheshimiwe
 
Waluguru tunajua kutunza wake zetu oVA
 
Tunajua mapenzi na watundu sana kitandani Tunajigijigi kwa style ambayo mwanadada yeyote lazima afike kileleni
 
Pia maumbile yetu ya ndani yana urefu na UNENE wa kutosha kufurahia tendo
 
Watu wafupi mna matatizo sana ni wabishi wakorofi ili hali nguvu hamna mnaongea kama kasuku hamtaki kushindwa na mna akili fupi kama mlivyo
 
6x6 Tupo vizuri hilo halihitaji mjadala wa kitaifa
 
Tupo fit na wepesi kitandani
 
hivi labda mie sijamuelewa... ni ufupi wa nini hasa.....kimo cha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…