Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Karibuni kwenye jumuiya mpya " LUGURU WELFARE ASSOCIATION (LWA)"
 
Licha ya ufupi, mna gubu sana na mambo ya kishirikina....,
 
Ulimpenda wa kimachame?? Bora alikudharau mkuu maana.... Wala usijutie malaika mlinzi alikuepusha.
 
Mie afadhali huo ufupi kuliko ubishi mliokuwa nao na kuongea kwa makelele, jumlisha kupenda ngoma katika mambo ambayo siyapendi kwa watani zangu(wanaume wa kilugulu)
 
Pole ndugu, wanawake wa mikoa ulioitaja hawahitaki na siikipaumbele kwao uwezo wa kitandani, kwao kipaumbele ni pesa, mauno kitandani sio kigezo cha kutokudharaulika. We tafuta tu pesa hutojua hata kimo chako kwajinsi watakavyokuzunguka.
 
Waluguru..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona baby wangu mluguru,
-tall
-hansome
-msomi
-caring
-romantic
-anajua kuvaa
- msafiiiiii
ooohhh dear God thank u, sina cha kukupa. Asante wewe mama mluguru kwa kunizalia sabuni ya roho.
 
aya mtani wetu kama hupendi ngoma KALAGA BAHO.......! ila jaribu siku moja kucheza mdundiko au vanga au mkwaju ngoma utajua raha yake. Zamani morogoro kuna mdundiko ulikuwa unaitwa KISAMANGO, pembeni unamkuta stage show anaitwa KUDURA n mwenziye alikuwa anaitwa ALI NDESO...daaah ilikuwa hatari mtani wangu, ila karibu ngomani uje ukonge nyoyo yako mtani wetu
 
Back
Top Bottom