Miss Zomboko,eti na kule nyuma mko wangapi?Jamani ee tupeni hata siku moja wanawake dunia nzima msitunzungumzie siku hiyo tuone kama maisha hayatoendelea.
Huyu hajui hata tofauti ya mkoa na jiji.Hivi Mwanza ni Mkoa au Jiji?
nimeuliza tu
Tatizo hawa wanaume wa dar ani swagger zao huwezi kumtofautisha huyu Me au Ke Ndio Maana wale vijana cjui PANYA ROAD wakilianzisha Yupo radhi akimbie hata mkewe mjamzito akamuacha!!!
Eti mnaoishi Dar kuna simu za kiinjinia?
Nauliza tu mana mimi wa mkoani.
Watu wa dsm hawa wanaokula mahindi ya kuchoma natumia chumvi na pilipili hawawezi kuwa........m...b..a Dada zetu wakawafikisha mwisho hawa naamini hilo ila xx Dada zao tunawaweza mpaka wanakomaaaa
we injinia wa minara ya simu acha mbwe mbwe, nadhani utakua unatoka kule kwenye tetemeko wewe
Huyu hajui hata tofauti ya mkoa na jiji.