Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #61
Mwanamke mmoja wa Mwanza si anawavuruga kabisa wanaume 70 wa Dsm?
Msimshangaee kwani kwa mjibu wa watafit wa magonjwa ya akili dar ndo inaongoza kuwa na machizi wengi anawezakuwa kachizika huyu
Hawajafungua tu chuo.. sijui anasoma au ndo waliokosa sifa za kujiungaa..
Njoo nyegezi weekend carwash kwa wajanja , niuone huo unaosifia ni mkoko, mwanza hii!!! Gari gani hiyo haijawahi onekana? From hammer to Corolla.
Wavalisheni madira.
Huku tunawaita malayoni
Acha tu, Dar kuna mpaka micharuko ya kiume.
Wewe ndyo itakuwa unawashobokea,, unapata wapi muda wa kundesha gari na kuangalia wanao kutamani.....
huu sasa ukorofimkuu vipi vijihalufu siku hizi hawana?
Shika jembe ingia kichakani.Wanaume wa Dar bhana..kazi kutunisha vidole kwenye keyboard hapo scorpion akitokea unaweza kunya na suruali yako
Naona yamebaki magaga tu japo kimtindo kama soli ya timberland boot.huu sasa ukorofi
Watu wa type yako huwa mnapigwa bomba na kuachwa kijinga kisa kutafuta starehe ya kupanda gari. Mshamba sana wewSisi tunajua ukiwa na boy mwenye ka usafiri una hakika wa kwenda kwenye starehe ki urahisi yaani utakunywa,utagegedwa,home utarudishwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuheshimiane aisee...
Wapi na lini ulisikia mwanaume kumkodolea macho mwanamke ni ushamba...
Huo ni Urijali mzee....
Na bahat yenu demu wangu hamumfikii hata robo...
Ningewabanjua kishenz mabinti wa Mwanza.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Walisema"Debe tupu haliachi kuvuma"Micharuko ya kiume inayo shobokewa na MADEM wa mikoani....
Na mna bahati demu wangu namuheshim...
Ningeli wabanjua hawa madem zenu cjui cjui zenu kishenz
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mkuu wala usihangaike naye,ni kawaida ya debe tupu haliachi kuvumaEngenieer unazurura mitaani badala ya kufanya kazi we we ni jipu hata kampuni yako jipu wanampa mtu kazi kama weweView attachment 416415 Demu wangu huyo hawezi lingana nawako ila hatujisifu watu tumetembea nchi 46 duniani hatusemi sasa wewe mwanza tu unapiga makelele dawa yenu scorpion
Mma bagwitu..mbombo jilipo.
Naloli... Abhandu bhikuswighisya!!!!!
Ahahaa kawaida tu we unashindana na ulipotokea utaumia jiangalie panya bukuWatu wa type yako huwa mnapigwa bomba na kuachwa kijinga kisa kutafuta starehe ya kupanda gari. Mshamba sana wew
mademu zetu siyo washamba mkuu engineer inaonekana we ndo ulikuwa unawazimikia hawa watoto wa ziwa si unawajua watoto wakula fishi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawa.
Lakin acheni USHAMBA sasa..
Muwaambie na MADEM zenu pia waache USHAMBA...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng