Yellow donaty
Senior Member
- Jan 16, 2023
- 113
- 271
Hakuna kilicho badirika wanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wa mtaani wanaishi mtandaoni sawa.wwanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaan
Wewe inawezekana unawapitia halafu unasema wao ndio wanakupitia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema kuna wakaka hata akikukula akasepa,hata uumii....Yaan Kuna mtu unampenda akupitie tu....very sweet [emoji39]
🤣🤣🤣🤣 Tulia wewe 🤒Wewe inawezekana unawapitia halafu unasema wao ndio wanakupitia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitupa jiwe kwenye umati wa watu usiku, ukisikia mtu analia ujue ndiye limempata. Nipe jina la huyo mwanaume aliyekukula na akakupotezea nimpe kichapoHakuna kilichobadirika wwanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu katoka kuliwa kimasihara sio mda mrefu hapa[emoji2][emoji2][emoji2]