Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Changamka kijana,,,ukiona watu wako busy unajianzishia hata uzi wa kujisifia watu tutakusapoti😂😂...japo mimi hiyo kazi siiwezi😂Nimegumdua kuwa hapa JF ni mimi pekee ninayeishi kifala bila ya kuwa na ID nyingine za angalau kuni bebishabebisha😄