Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

Hakuna kilichobadirika wwanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
Huko mtaani kwako si ndio hawa? Walioko mtaani wote nao wanatumia social network kama sio hapa atakuwepo Ig, ama Twita basi tuseme hata Elon wa twitter nae malaya? Na maraisi je🙄
 
Hakuna kilichobadirika wwanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
Wamtandaoni ndio Hao Hao WA mtaani. Au WA mtaani hawamiliki Smartphones?
 
Nisivyo waamini JF, hapa najiona ID ya ukweli nipo mimi tu kwenye hii thread, halafu IDs nyingine zote ni za mtu mmoja au wawili😀
 
Back
Top Bottom