Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

Hakuna kilichobadirika wwanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
Kwani unavyosikia kuwa tupo mitandaoni wewe huwa unadhani kuwa sisi ni mabuibui? Kwamba mitaani hatupo?
Sisi ni walewale tu.
Kwani wewe walikukulia wapi? Si kitaa au juu ya minara ya Voda?
 
Back
Top Bottom