Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ajabu ni kwamba hao wa mitaani ndiyo baadhi yao wapo mitandaoniYani madai yamekuja kama vile kuna wengine wanaishi mitandaoni tu, mitaani hawapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu ni kwamba hao wa mitaani ndiyo baadhi yao wapo mitandaoniYani madai yamekuja kama vile kuna wengine wanaishi mitandaoni tu, mitaani hawapo.
mie sio mzee ni kijana ila mkubwa mkubwaMpenda wazee
Haya bwana nitaangalia kwa maana mmh naogopaUnaogopa harufu ya kibeberu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda tu shogare kamle ila mtie ndimu na pilipili agwaduke
Na mimi siku nikibahatika kukukula utakuwa unaniambia hivyo "tangulia nakuja" (in wema sepetu's voice) 🙈Usijali,,ngoja nikae chini nitulie niandike..tangulia nakuja😃
Moderator mnamuona huyu?! 😊😊😊Fala kweli wewe, humu utaruka na nani, au unadhani wote ni mandina kama wewe? Yaani mimi nihangaike na wewe? Wewe size yako ni huko walikokupeleka mtaroni na kukutapeli. Tena ushukuru hata nimechukua muda kukujibu.
Wewe ni wa kukuacha maana huo muunganiko wako wa maneno unaonekana umeshajikatia tamaa.
Wasalimie
Unayaweza?! 😃Fala kweli wewe, humu utaruka na nani, au unadhani wote ni mandina kama wewe? Yaani mimi nihangaike na wewe? Wewe size yako ni huko walikokupeleka mtaroni na kukutapeli. Tena ushukuru hata nimechukua muda kukujibu.
Wewe ni wa kukuacha maana huo muunganiko wako wa maneno unaonekana umeshajikatia tamaa.
Wasalimie
Heheh😂😂😂Na mimi siku nikibahatika kukukula utakuwa unaniambia hivyo "tangulia nakuja" (in wema sepetu's voice) 🙈
🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️💨
ni tongoze ID ya JF?,bora nifuge ndevu 😂 😂Wacha wee!! Hebu nionyeshe mtongozo wenyewe og [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni tongoze ID ya JF?,bora nifuge ndevu [emoji23] [emoji23]
kula tano mwanangu sana[emoji1477]
si kuogopa ni uchaguzi tuh..kwenye maisha lazima uwe na kipaumbele ivi kweli na akili timamu nitongoze id isiyo hata na picha moja ya ukweli,sauti hakuna wala ka video nako hola sasa nitashawishika na nini! ujue ni rahisi sana kutongoza mwanaume mwenzako humu au ganda lolote..nikupe mfano nilishawahi kutongoza id moja humu juju tuh ikakubali sasa kwenye kuja kukutana nayo ilibidi nimwache mataa mana nilipack mahali husika nikajibanza nimwone kwanza alo sikuvutiwa nae kabisa mana alikosa vitu flaniflani navyo hitajiKumbe mwenyewe unaogopa?? Basi tuwaache wapendanao wachachuane, wakichoka watuletee umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
si kuogopa ni uchaguzi tuh..kwenye maisha lazima uwe na kipaumbele ivi kweli na akili timamu nitongoze id isiyo hata na picha moja ya ukweli,sauti hakuna wala ka video nako hola sasa nitashawishika na nini! ujue ni rahisi sana kutongoza mwanaume mwenzako humu au ganda lolote..nikupe mfano nilishawahi kutongoza id moja humu juju tuh ikakubali sasa kwenye kuja kukutana nayo ilibidi nimwache mataa mana nilipack mahali husika nikajibanza nimwone kwanza alo sikuvutiwa nae kabisa mana alikosa vitu flaniflani navyo hitaji
😂 huko ndio kumchafua sasa..na mimi hilo kundi balee nimeshalivuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ulijua utakutana na malaika?? Si mpeane namba mpigiane video call na picha mtumiane ili kusiwe na usumbufu bro
Nipe basi id ya huyo manzi uliyemkimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] huko ndio kumchafua sasa..na mimi hilo kundi balee nimeshalivuka
wewe si ulitaka nikutongoze sasa hiyo id unakazi gani nayo? au we topasi
hahah haitakua vyema kumtajaSi niconnect dot nijue anafananaje?? Maana umenichekesha ulivyo sema umemkimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isije kuwa shosti angu humu
hahah haitakua vyema kumtaja
yaleyale ya SamsonSiri yetu nitajie bhana [emoji12]