Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Watumie nguvu nyingi wakati papa imekuwa rahisi kuliko kibua? Naungana na vijana, nguvu iende kwenye mambo ya msingi as papa ni cheap sana siku hizi.

Mwaka 2001 ilikuwa mara yangu ya kwanza kutongoza ile yenyewe, sitasahau siku ile, viganja vilijaa jasho utadhani nilikuwa nafanya necta advanced mathematics.
 
Siyo waoga mrembo, muda ndiyo mchache afu mambo mengi..

Nikikuomba namba (maana ake nimekuelewa), ukinipa namba maanaake umekubali.

Kifuatacho tunapanga tu appointment ya wapi na lini tukutane tumalizane, ni hivyo tu
Siungii hoja kuombewa namba na jinsia tofauti kwamba kakuelewa..wengine Wana mambo ya kibiashara na kiofisi..

Ukipewa mda wa kutosha na mdada unaemwelewa mkaka mahali wenyewe kama masaa mawili unaweza kufunguka?
 
Before then walikuwa wanafanya , ila then norm ikajengeka mwanaume kuelezea hisia zako unaonekana weak, soft, simp. So ili kuepusha hizo wanaficha
 
Wala hakuna mkuu
 
Ngoja kwanza, yaani unamaanisha wanaume wamekuwa waoga kumtongoza mwanamke face to face au kuelezea hisia kwa maana ya kuelezea changamoto zake za kimaisha kwa mwanamke face to face ili amsaidie?

Sijaelewa naomba ufafanuzi.
 
Wengi macho makavu sababu hakuna kipya ambacho hawakijui. Wameshapigwa chuma kadhaa hapo anakua na macho makavu kuona kama saizi ulonayo sio kama walizonazo akina john, juma, joseph alizopita nazo..!
shida mimi naona malez na makuz ya enzi zile na sasa tofaut!....wasichana walikua waoga haswa kwa wanaume na wanaume walikua na ujasiri na ubabe fulani wa kimamlaka tofauti na hawa akina"junia"wanaolishwa ma~lishe na kufungiwa getini 24/7/365,hana hata reference na experience za kombolela na michezo ki~baba na mama!
 
tuonane wapi ili nielezee hisia zangu kwako live
njoo pm tupande
 
Hawa wa siku hizi changamoto kwanza ukitongoza anakuona kama mshamba au fala fulani kwamba wewe unaendaje kuongea maneno matupu ukijua wazi kwamba mkono mtupu haulambwi.

Unachotakiwa kujua ni kuwa pesa ndio inahitajika, hawasemi ni kiasi gani ila wao wanachotaka ni kuona mwanaume anatoa kafara au kuweka rehani pesa zake ili kuwa na mwanamke. Sasa wanaume wa kisasa elimu wanayo kuhusu akili za wanawake so wamestukia mchezo.

Ukitaka mahusiano serious wewe kama mwanamke useme maana siwezi mimi mwanaume kukaza mishipa ya fahamu kutema maneno ya hisia kukuelezea ninavyojiskia moyoni halafu tukianza mahusiano wewe ndie una benefit kwa kutumia mali zangu huo upuuzi wanaume wamekataa.

Mwanamke akitaka mapenzi yeye ndie atongoze mwanaume otherwise atulie azeeke.
 
Ngoja kwanza, yaani unamaanisha wanaume wamekuwa waoga kumtongoza mwanamke face to face au kuelezea hisia kwa maana ya kuelezea changamoto zake za kimaisha kwa mwanamke face to face ili amsaidie?

Sijaelewa naomba ufafanuzi.
Heee...
 
Huu ndio ukweli wenyewe.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sema ulichoniitia!!??!!
Unanipotezea mda wangu



Ukikutana na hivi unanyweaa[emoji23][emoji23][emoji23]
acha tu,anaanza kukuimbisha yeye,hujakaa sawa unapgwa mzinga wa vocha,mara chips n.k unanywea vibaya mno!!......back in days mtu unamvizia binti wa watu hadi unachoka so ukijichanganya unamtemea madini aina zote na hakupi jibu hapohapo hata mwaka unaisha!
 
Wanaume mmejikimbia halafu lawama mnawapa wanawake
 
Nakubali kizazi pande zote kimebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…