Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Siku hizi nadra sana kukataliwa,, siku hizi tunaogopa kuliliwa shida,, tena kuna sehemu ukikataliwa unashukuru, wadada siku hizi hawakatai ila utajitoa mwenyewe tu
Mi Nina huruma sijui ndo umri mkomavu..siombagi Hela Wala kutanguliza shida zangu..japo ninazo sana
Ila naangalia upendo kwanza.baadae hata ukiyajua ukiamua kunisaidia fresh tu.usipoamua pia fresh tu.ilhali unajua nahitaji msaada
Kama nliweza kuishi nazo kabla hatujakutana,ntaweza pia hata tukiwa wote.siwezi kuyafanya Maisha yangu kuwa jukumu lako Kila shida nkubebeshe kisa umenipenda or tunakulana hapana.
Maana nawe hapo una shida zako,kwanini zangu nzifanye halali yako?mzigo wako?
Kama kusaidiana kupo tu,why mapema mno unaanza?
Vibinti vya siku hizi vinafeli.
 

Mambo yamebadilika, siku hizi wanawake hamna tena hisia mnawaza pesa tuu. Hata hiyo nafasi ya kumskiliza mtu hamtoi. Na sisi baada ya kuligundua hilo tunaenda na upepo, siku hizi hatutongozi ila tunatoa idea tuu
Yan ile " Unaonaje w/end hii tutoke wote" ukishakubali ndo unaenda kuliwa hivyo
 
Wewe ni wa zamani ??
 
Hii tabia kwa wanawake hasa wa mjini inakera.
Kuna binti mzuri hapa mtaani nilimuelewa sana,nilimuona ni mtu makini, mcheshi na mwenye exposure pia.
Siku nilipomfuata na kumueleza yangu ya moyoni hakukataa ila aliniambia "Hela yako tu"
Aisee,nilichoka! Kwa uzuri wake ule kumbe ni kahaba tu.
Nilimzuga kumtafuta weekend hii ila ndo hanipati tena na namba nimefuta.
 
Siku hizi ni timing tu,, binti nae si anajua jamaa anataka kuchovya tu na kusepa ndo maana lazima amuingize hasara hata akichovya akasepa na yeye kafaidika
 
Sio wote wanatanguliza pesa..naamini wapo waelewa huko nje
Mmmmmmhmn kwasasa itakuwa uongo aisee. Wanawake wa kuoa wapo ila sasa wameshaharibu unakuta wanashapata watoto, wameshatumika sana, hawana mvuto au akili zao unaona tu kabisa hapa mwezi mchanga.

Hapa tunaongelea mwanamke ambaye ni mzuri kwa muonekano yaani at least in the scale of 1 to 10 awe hapo kwenye 4 hadi 6. Maana kuanzia 7 hadi 10 ni uongo.

Sasa da shida tunazokutana nazo ndio si mchezo.
 
Siku hizi ni timing tu,, binti nae si anajua jamaa anataka kuchovya tu na kusepa ndo maana lazima amuingize hasara hata akichovya akasepa na yeye kafaidika
Sawa.lakini ukiapply Kwa mtu mwenye malengo mema na sahihi unaharibu
 
Hahaaa
Unataka kusemaje
Mko sahihi kuogopa kukataliwa
Ukichunguza kwa makini mwanaume kumtongoza mwanamke ni kama unaenda kujidhalilisha, hasa hasa kama huyo mwanamke akikukataa.

Imagine mfano niko ofisini, namtongoza mdada ambae nafanya nae kazi ofisi moja, akinikataa obviously lazma atawaambia rafiki zake wengine wa kike, sasa huoni hiyo itanishushia CV mbele ya wadada wengine ninaofanya nao kazi ofisi moja?

Wanaume wengi siku hizi tumepunguza kutongoza na kuhonga, juzi hapa jirani kuna mdada kamtuma mwenzie wa kike, aniambie amenipenda, mm nilimjibu kistaarabu kuwa ujumbe umefika, ila kimoyo moyo najua sito-sex nae wala sitommfatilia huyo dada alientumia huo ujumbe, maana najua ameona mjini pagumu, madanga wa kumuhonga hamna, hivyo anatafta mtu wa kumhudumia Miss Champagne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…