Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
FactUache kutembea na wanaume waliooa. Hiyo ndio dawa
Msikimbie swali aiseee maana mmezidi sasaUache kutembea na wanaume waliooa. Hiyo ndio dawa
Wewe umejuaje kama huwa tunawasema wake zetu?
Hizo ni mbinu za kivita…ili asionekane anachepuka bila sababu…akili mtu wangu😂😂Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wakezenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu?? Wake zenu wanaingiaje hapo
Inaweza kuwa unadanganywa au Kuna ukweliMsikimbie swali aiseee maana mmezidi sasa
Amejua kwa sababu ni lady inactionWewe umejuaje kama huwa tunawasema wake zetu?
wewe ulichepuka na nani akavujisha siri za mke wake kwako?Wanaume wachepukaji nina swali
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wakezenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu?? Wake zenu wanaingiaje hapo
Lazima tuwaseme wake zetu sababu wanatukera sanaWanaume wachepukaji nina swali
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wakezenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu?? Wake zenu wanaingiaje hapo