Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wakezenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu?? Wake zenu wanaingiaje hapo
Hizo ni mbinu za kivita…ili asionekane anachepuka bila sababu…akili mtu wangu😂😂
 
Swali lako liko so biased. Ukweli ni kwamba, wanawake wachepukaji ndio huwavua nguo waume zao huko wanapochepukia. Wengi wa wanaume hutumia hizo technology kuwahadaa wanawake ili wapate uhalali wa kutimiza natamanio yao maana hawawezi kuwasifia wake zao kwa wanaochepuka nao equation haita balance.
 
Wanaume wachepukaji nina swali
Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wakezenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu?? Wake zenu wanaingiaje hapo
wewe ulichepuka na nani akavujisha siri za mke wake kwako?
 
Back
Top Bottom