Wanaume waheshimiwe milele

Wanaume waheshimiwe milele

Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...

Wanaume wana roho nzurii jamani....

Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...

...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)

WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.

EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.

Kuna baadhi ya sifa ulizotaja sio za wanaume wa dar hasa hapo ulipogusia "hatari"
 
We sifia tu lakini pesa hupati....hahaha! Si unajua origin yangu lakini. Mwenzako kasifia kwa vile jana kapewa vitu adimu..

Haki ya nani! Si ndio maana nakuita mchawi! Hujawahi kunipa hata kumi ila walaaa hata hutumii nguvu, this isnt fare aisee, unanipunja sana bwana, ila bado nimo tuuuu na out nakutoa mimi kwa gharama zangu!! Hebu ngoja nifanye uchunguzi wa hiyo origin yako maana sio bure haki vile.
 
Mmoja kwa laki moja,ahsante xn aisee

Sijui cha kusema lkn pia una akili nyingi, yawezekana we ni kati yao wachache wanaojua umhimu wetu.Mungu akujalie maradufu
 
Haki ya nani! Si ndio maana nakuita mchawi! Hujawahi kunipa hata kumi ila walaaa hata hutumii nguvu, this isnt fare aisee, unanipunja sana bwana, ila bado nimo tuuuu na out nakutoa mimi kwa gharama zangu!! Hebu ngoja nifanye uchunguzi wa hiyo origin yako maana sio bure haki vile.
...haha. uchawi wangu huwezi kuujua. Lakini kila nikihitaji huduma zako hakika utatoa. Lakini hata mimi sijaweka kambi bure bure, you're stunning rafiki...
 
Tatizo wanawake walio wengi hawaelewi hivi na hawataki kueleweshwa na ndio maana wanaishi kuondoa nuksi ya ndoa badala ya kupata ndoa yenye utakatifu. I like what is in u cute b
 
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...

Wanaume wana roho nzurii jamani....

Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...

...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)

WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.

EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.

Ubarikiwe
 
...haha. uchawi wangu huwezi kuujua. Lakini kila nikihitaji huduma zako hakika utatoa. Lakini hata mimi sijaweka kambi bure bure, you're stunning rafiki...

Si ndio hapo nashangaa! Ukinihitaji tu huyoo nishafika, hapana aisee inabidi nianze kutafuta namna.
 
Tatizo wanawake walio wengi hawaelewi hivi na hawataki kueleweshwa na ndio maana wanaishi kuondoa nuksi ya ndoa badala ya kupata ndoa yenye utakatifu. I like what is in u cute b

Nooo sio kwamba hatutaki kueleweshwa au hatuelewi, hata maandiko yanatuagiza kuwaheshimu na tunalijua hilo, ila kumbuka respect is earned, hauwezi kumwambia mtu akuheshimu, atakuheshimu tu.
 
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
cute b umeolewa???
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kumpata mwanaume bora.

Wakati unatoa sifa zote hizo kwa mwanaume, kuna wengine wanatamani hata kujitoa uhai kwa ajili ya vituko wanavyofanyiwa na wanaume.

kama nao wanajiita bahati mbaya kwanini wasifanyiwe vituko???
 
Last edited by a moderator:
Uyu anaweza kua mwana betting mwenzake 😁😁😁😁
 
wanawake wote wangekuwa na akili kama za kwako neno WANAWAKE NI WAUAJI lisingekuwepo.
 
Naona kama you had a really good sex last night......
thanks to him umeamka unatuona wote 'supermen'

Huwa nakukubali ile mbaya, i wish one day nikuone live, nilinganishe post zako na appearance yako
 
Back
Top Bottom