Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

sasa kama umeo ina maana hujawahi kunyimwa unyumba? Na kama hujawahi kunyimwa subiri yuaja wakati utakaponyimwa utamu huo ndio utajua wanawake wakoje kunako utamu huo
Akizingua arudi kwao maana anakuwa kaja kwangu kufanya nini ndoa inakuwa imemshinda huyo
 
sikiliza we baba, kama kuna kitu mkeo alikuomba umletee ukawa hujaleta utanuniwa mpaka usiku wa raha hutapewa utamu, leta kitu, utapewa yote utafune mpaka maji uyaite ma. Ni kawaida kunyimwa mzee wangu ila ikizidi sana kunyimwa ndio inakuwa mzozo wa kindoa
 
Kama mwanamke ni muelewa atakuelewa n hicho kitu utamletea siku nyingine,asitumie tendo la ndoa kama fimbo
 
Wakuu

Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza janga hilo.
Philemon pia alibainisha kuwa wanaume wanaendelea kunyanyaswa na wake zao hasa wenye vipato vikubwa, hasa kipindi cha mwisho wa mwaka wanapovunja vikoba vyao. Aidha, wanawake wa kijiji hicho, wakiongozwa na Mariam Mahajile, wameeleza kuwa changamoto hizi mara nyingi husababishwa na wanaume kushindwa kuwajibika kifamilia au kuwa na uhusiano nje ya ndoa.
"Na kuna kesi moja ya mwanamke alikuwa hampi mume wake unyumba na haki hiyo anampatia mtu mwingine ambaye sio mume wake yaani ni kama anaishi na mume lakini unyumba anapewa mtu mwingine."
"Mwezi huu wa Desemba wakati akina mama wanavunja vikoba vyao tumekuwa tukipokea malalamiko mengi ya wanaume kunyanyaswa na wake zao sisi kama serikali tunayapata sana malalamiko haya kutoka kwa wanaume wengi," amesema Philemon.

Nuru Mpanda kutoka Jukwaa la Wakulima Wanawake amewashauri wanawake kuwaheshimu waume zao hata wanapokuwa na vipato vikubwa, huku Mratibu wa Mradi wa TIF, Happy Itros, akielezea juhudi za mradi huo katika kusaidia wakulima wadogo hasa wanawake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kupitia kilimo endelevu.
Baltasar anahitajika hapo.
 
Hawajitambui kwakweli, hiko kijiji kifutwe
 
Swala la kunyimwa unyumba limekuwa tatizo kwa wanandoa yaan mnalala kitanda kimoja mzungu wa nne takribani mwaka mmoja kweli...jamani ndoa zinasiri sana...mnabaki kulea watoto tu... ukitaka uone asira yake mdokeze swala la tendo la ndoa anakuwa mkali kama mbogo...kama wewe ndoa yako haina vikwazo shukuru sana.
 
Huwa nawaza sana Ingetokea papuchi Mungu anawapa wachache kama vile "Kipaji Maalumu" sijui dunia ingekuaje! Yaani katika wanawake 100, unakuta watano au 10 tu ndo wanazo! Aisee
 
Hii mbaya sana, baba mwenye nyumba unanyimwa unyumba halafu wa nje anapewa, tena apewa yote kwa raha zote na mimba ikiwezekana anatia, inauma sana, basi uvumilivu unahitajika
 
Nafikiri wanawake kuwanyima unyumba waume zao Inasababishwa na vitu viwili:

1) Wanaume kuwa pasua kichwa, mwanaume unakuta hahudumii pesa ya chakula nyumbani, mume ana michepuko, mume mnyanyasaji ana gubu etc

2) Wanawake kuolewa sababu ya mali za mwanaume, maisha yanakua magumu mdada anaona bora aolewe ili apate unafuu wa kiuchumi (kwa mgongo wa kuhudumiwa), au unakuta mdada anaolewa sababu muda wa kuolewa umefika 30 years plus ila tangu mwanzo anakuwa hampendi mumewe Sister Abigail
Mi naona ni kukinai labda ..ama kuchokana tu.
 
Back
Top Bottom