Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Loh...haya sawaMi mwanamke cute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh...haya sawaMi mwanamke cute
hao ni WAPUMBAVU,....Kama wewe hayajakukuta basi una bahati sana, hiki ni kilio cha wanaume wengi sana
Siyo rahisi kihivyo, yawezekana wewe hujaoa ingia kwenye ndoa uvikute vituko vya wanawake ndiyo maana maandiko matakatifu yanasema tuishi na wanawake Kwa akili siyo kuwakimbiaSi unatafta pengine
Ukishaolewa hivi viapo unavisahau bwana!! Mambo yakianza kutindiganya hata hukumbuki kama uliapa🤣🤣🤣🖐️ Mwenyezi Mungu nijalie mume mwema..naapa akiniheshimu nitamuheshimu,akinipenda nami nitampenda zaidi na kumtunza.
Katika shida na raha ntashikamana nae.akimess up things naachana nae
Hawa wanaume wanaolalamika ni wale waungwana,wale wengine tayari wasahatengeza nyumba ndogo na kukimbilia makahaba sababu ya kunyimwa unyumba.
Dipresheni🤣🤣🤣
Nimeshaoa nna mke na watoto piaSiyo rahisi kihivyo, yawezekana wewe hujaoa ingia kwenye ndoa uvikute vituko vya wanawake ndiyo maana maandiko matakatifu yanasema tuishi na wanawake Kwa akili siyo kuwakimbia
Hao wanaume wananyimwa unyumba si wawarudishe hao wanawake makwao. KUNA SHIDA GANI? LABDA KUNA HILO NASIKIA KWa kabila hilo ukimtaka mke wa mtu awe rafiki yako na mumewe asikughasi unamlipa huyo mume ng'ombe sijui wangapi. Wanaume wa huko hawatafuti kitowea au mboga ni kazi ya wanawake. HAPA UTAACHAJE KUNYIMWA?Kama wewe hayajakukuta basi una bahati sana, hiki ni kilio cha wanaume wengi sana
Wangemuomba Queen mother awasaidie maana kila jambo nchi hii unasikia ,"tunaomba maza atusaidie tupate haki yetu".Wakuu
Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza janga hilo.
Philemon pia alibainisha kuwa wanaume wanaendelea kunyanyaswa na wake zao hasa wenye vipato vikubwa, hasa kipindi cha mwisho wa mwaka wanapovunja vikoba vyao. Aidha, wanawake wa kijiji hicho, wakiongozwa na Mariam Mahajile, wameeleza kuwa changamoto hizi mara nyingi husababishwa na wanaume kushindwa kuwajibika kifamilia au kuwa na uhusiano nje ya ndoa.
"Na kuna kesi moja ya mwanamke alikuwa hampi mume wake unyumba na haki hiyo anampatia mtu mwingine ambaye sio mume wake yaani ni kama anaishi na mume lakini unyumba anapewa mtu mwingine."
"Mwezi huu wa Desemba wakati akina mama wanavunja vikoba vyao tumekuwa tukipokea malalamiko mengi ya wanaume kunyanyaswa na wake zao sisi kama serikali tunayapata sana malalamiko haya kutoka kwa wanaume wengi," amesema Philemon.
Nuru Mpanda kutoka Jukwaa la Wakulima Wanawake amewashauri wanawake kuwaheshimu waume zao hata wanapokuwa na vipato vikubwa, huku Mratibu wa Mradi wa TIF, Happy Itros, akielezea juhudi za mradi huo katika kusaidia wakulima wadogo hasa wanawake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kupitia kilimo endelevu.
Oii cheki comment ya huyu mdada 🤣🤣 halafu bunge na profesa janabi wanasema vijana hawana nguvu za kiume🤣🤣 Mzee wa kupambaniaWengne husema mwanaume akifanya kazi ngumu huwa hana ny***g lakini si kweli kuna wanaume hata awe anakoroga zege, akioga ni anapata nguvu mpya kama hajafanya kazi. Kila kitu kiwe na kiasi jamani,
Anaongea kwa uzoefu aliojioneaOii cheki comment ya huyu mdada 🤣🤣 halafu bunge na profesa janabi wanasema vijana hawana nguvu za kiume🤣🤣 Mzee wa kupambania
Ya hali ya juu sana 😂Dipresheni🤣🤣🤣