Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

sasa kama umeo ina maana hujawahi kunyimwa unyumba? Na kama hujawahi kunyimwa subiri yuaja wakati utakaponyimwa utamu huo ndio utajua wanawake wakoje kunako utamu huo
Akizingua arudi kwao maana anakuwa kaja kwangu kufanya nini ndoa inakuwa imemshinda huyo
 
Akizingua arudi kwao maana anakuwa kaja kwangu kufanya nini ndoa inakuwa imemshinda huyo
sikiliza we baba, kama kuna kitu mkeo alikuomba umletee ukawa hujaleta utanuniwa mpaka usiku wa raha hutapewa utamu, leta kitu, utapewa yote utafune mpaka maji uyaite ma. Ni kawaida kunyimwa mzee wangu ila ikizidi sana kunyimwa ndio inakuwa mzozo wa kindoa
 
Kama mwanamke ni muelewa atakuelewa n hicho kitu utamletea siku nyingine,asitumie tendo la ndoa kama fimbo
 
Baltasar anahitajika hapo.
 
Hawajitambui kwakweli, hiko kijiji kifutwe
 
Swala la kunyimwa unyumba limekuwa tatizo kwa wanandoa yaan mnalala kitanda kimoja mzungu wa nne takribani mwaka mmoja kweli...jamani ndoa zinasiri sana...mnabaki kulea watoto tu... ukitaka uone asira yake mdokeze swala la tendo la ndoa anakuwa mkali kama mbogo...kama wewe ndoa yako haina vikwazo shukuru sana.
 
Huwa nawaza sana Ingetokea papuchi Mungu anawapa wachache kama vile "Kipaji Maalumu" sijui dunia ingekuaje! Yaani katika wanawake 100, unakuta watano au 10 tu ndo wanazo! Aisee
 
Hii mbaya sana, baba mwenye nyumba unanyimwa unyumba halafu wa nje anapewa, tena apewa yote kwa raha zote na mimba ikiwezekana anatia, inauma sana, basi uvumilivu unahitajika
 
Mi naona ni kukinai labda ..ama kuchokana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…