Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.

Endelea kufurahia ila make sure chupa haipasuki!!! Ikipasukq urudi tena hapa kwa mrejesho zaidi
 
[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe

Usijifunze kupitia ndoq za wengine au wanawake wengine!!! Maisha ya ushirikina ni mafupi mno, lakini zaidi namsikitikia kijana kwakupata mama au mke kama wewe....!!!! Nyie ndo mnafanya vijana wakatae ndoa, ipo siku moja utapeleka watoto kwa waganga wewe..... wewe kama mama amini icho ulicho anzisha utashidwa kukimaliza wakati ukifika
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
HAKUNA UCHAWI UNADANGANYWA.
 
Yanahitajika maarifa ya saikolojia ya mahusiano.

Kuna ombwe kubwa sana kwenye jamii zetu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom