Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge


1. Usimfuatilie
2. Mpe chakula kisicho ongeza libido(ashki) ya ngono.
3. Mpe papuchi bila kipimo,
4. Vaa pendeza, jipende maradufy kadiri iwezekanavyo.

Huko kwenye Uchawi unapoteza muda wako, zaidi unaiingiza familia na kizazi chako kwenye maagano ya kijinga ambayo bila Shaka yataigharimu familia na watoto wako Huko mbeleni.
 
Hatari! Sii mchezo....kumbe mnapenda de liboloz hamtaki kushare🤣🤣🤣🤣

Ila kumfanya mwenzio asidindishe mbele ya mbususu zingine ni roho mbaya. Kwani wee unakosa nini huyo akigegeda mbususu nyingine?
Hahahah anakuwa mchoyo siyo? Wanasema kizuri kula na Mwenzio babu weeh 🤣🤣
 
Mchawi
 

Hio no 2 sasa haisaidii nisipompa hicho chakula show si itakuwa ya kawaida
 
Kukupenda ni jambo Moja...

Kukuvunjia heshima ni jambo lingine na haviendi sambamba na upendo.

Watu wanawapenda sana wake zao na wanachepuka Kwa tamaa zao ila ndani Kuna heshima mno.

Anayekupenda anakuheshimu pia.
Kwa hiyo bora achepuke huoni bibie katumia njia ya jadi kumtuliza kuliko kuleta magonjwa ndani
 

Huo ndio mpango[emoji849][emoji849]akija kuamka ataamua tuendelee au aniache Ila nimesogea mbele
Liwalo na liwe sitaki kuteseka mie
 
Kuna umasikini mkubwa unaokuja mbele yenu; ulichokifanya, tayari umeshaharibu uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kwa mumeo, leo hii akipoteza kipato utakuwa tayari kuishi naye?
Nachokushauri, kategue hilo tatizo mapema, baada ya hapo jitahidi uwe unampa shoo muda wote anaohitaji na sio kumpangia pangia, chanzo cha kuchepuka kinaweza kuwa ni wewe kutokuwajibika kwa nafasi yako kama mwanamke.
 
Kukaa na mtu unajua kabisa hakupendi yuko kwa madawa! Unamfurahiaje?
Kwani si muachane tu?

Miaka mitatu ya ndoa na huwezi kuiacha ndoa, ungefika miaka 20 ?

Hujaelewa story vizuri hivyo ni ngumu hata kuelewa maelezo yangu
Ila mimi sio wa kwanza plan yangu ipo vizuri tu
 
Chanzo Cha kuchepuka ni nini?

1 Unamnyima unyumba??

2 Unatumia unyumba kama fimbo ya kumwadhibu??

Matatizo mengi mpaka kafanya hayo yote kwako unakuta umeyasababisha wewe

Unamnyimba haki zake za ndoa alafu unategemea asichepuke akichepuka unamroga.
 
Wanaume wengi tu wamebanwa na wamebadilika
Sawa huu uzi upo ntakuja kuweka update sitoona aibu ikitokea hajabadilika
Kila siku naomba mtu anayejua kuloga aniloge lakini hapatikani. Nilikuwa na mke wangu nampenda kweli kweli, mimi sichepuki kumbe yeye anachepuka na mbaya zaidi alikuwa anaenda kwa waganga ili eti nisigutuke. Haikuchukuwa muda, nikagutuka, nikamvizia na mayai viza yake anapasulia mlangoni nikamwambia afungashe.
 

Hayo ni maneno tu
Inamaana humu Jf nzima hakuna wanaume waliorogwa [emoji23][emoji23][emoji23]wapo wengi sana
Tulieni jamani kama hamtaki mtatulia kwa nguvu
 
Nikuulize, yote haya ni kwanini au kwasababu ipi ambayo utaweza kusimama mbele ya mzazi wake nakumwambia.
Kasema jamaa anatembeza dudu kwa michepuko balaa,na hataki kushare dudu la yuyu 🤣🤣🤣
 
Huo ndio mpango[emoji849][emoji849]akija kuamka ataamua tuendelee au aniache Ila nimesogea mbele
Liwalo na liwe sitaki kuteseka mie
Tena Mwanaume akiwa mchepukaji kuwa na maendeleo ni ndoto dawa ni hiyo tu unamfunga kwenye chupa akitulize kimti chake🤨
 
Mimi ni mwananaume lakini kusema ukweli wanaume wa Dar wenye wake kuchepuka imekuwa kama utamaduni. Halafu kama una mke na unachepuka nakuhakikishia 100% utakuwa umeshalishwa uchafu mwingi sana ili eti akuvutie kuliko mke wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…