Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Lakini shoo unampa muda wote anaotaka?Nilicho kifanya hata kwenda kwa mwanamke mwingine hatoweza hivyo hatojua kama hawezi kusimamisha kwa mwanamke mwingine
Hio ni njia ya tatu by the way hizo mbili zipo ni kali zaidi
Mungu angekuelewa ungefunga na kuomba. Mwanamke MPUMBAVU huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Umekaribisha u hawi kwenye damu yako. Hicho kilinge ulichokiwekea damu na Hela Leo utalipia kwa machozi na laana zisizoisha. Utawapa wanao taabu ya kusugua magoti ili waoneshwe mahali penye tatizo. Bwana Mungu akufungue fikra zako uone ujinga uliofanya ukarekebishe. Hujachelewa. Wakati mwingine mwache aende zake. Hupati faida kujiwekea tiketi Motoni wewe na kizazi chako chote.Sijamdhuru mtu nimemtuliza kunipenda ananipenda sana ila hana utulivu
Hata Mungu ananielewa sijamdhuru nataka utulivu tu sina nia ya kumgombanisha na nduguze au lingine lolote
Huyo alipata tapeliMkuu basi huyo wa kwangu ndivyo alivyodanganywa kwa sababu siyo kwa kuajiamini kule. Mshenzi alinilia ''time'', nimesafiri akamleta ndani kabisa. Ile siku nimesema narudi akachukua nazi kavunjia mlangoni huku anasoma maneno kwenye kikaratasi. Nilipoingia ndani akadhani sioni akasindikiza na yai viza la kuvunja. (nadhani alishaamini kuwa dawa zimenipumbaza).
Hapo ndipo kwenye suluhisho lilipo wanawake wengi wananyima wanaume wao penzi alafu wanategemea mwanaume asichepuke.Lakini shoo unampa muda wote anaotaka?
Kwa hili, mleta mada ndio mzembe, hamridhishi kwenye shoo huku akitegemea jamaa asichepuke?Hapo ndipo kwenye suluhisho lilipo wanawake wengi wananyima wanaume wao penzi alafu wanategemea mwanaume asichepuke.
Hicho kitu ni kigumu Sana.Wanaume tumetofautiana Sana na wanawake.Wao wanaweza kukaa hata miezi zaidi ya Saba BIla show wakati sisi siku Moja tunaweza kuiona kama mwaka kukosaa show.
Tupo tutaonaSo sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.
Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.
Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].
Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.
Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.
Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.
Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.
Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Una bahati umepata mume anayekumbuka hadi kinga alafu unamuona mjinga Tena?? Badilisha awe ndondocha alafu siku tamani arudi kwenye kawaida uone.So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.
Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.
Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].
Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.
Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.
Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.
Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.
Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Sidhani kama Bora kumfanya ndondocha.Kwa hiyo bora achepuke huoni bibie katumia njia ya jadi kumtuliza kuliko kuleta magonjwa ndani
Hahaha umejichimbia kaburi mwenyewe kumbuka jamaa atakuwa hafanyi kazi za maendeleo ya familia yenu kazi itakuwa kuwaza aje tu akuubemende[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe
Ni SAWA na kuishi na ndondochaa Kila kitu anafuata.Anaona amewin.Kibao kikimrudia mume ashindwe kurejea kawaida hapo ndyo atajua hajui.Hahaha umejichimbia kaburi mwenyewe kumbuka jamaa atakuwa hafanyi kazi za maendeleo ya familia yenu kazi itakuwa kuwaza aje tu akuubemende
Kweli umemkomesha anastahili.Wanaume wengi tu wamebanwa na wamebadilika
Sawa huu uzi upo ntakuja kuweka update sitoona aibu ikitokea hajabadilika
Ila mumeo akigundua wewe ni mchawi/mshirikina umekwisha.So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.