Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Nilicho kifanya hata kwenda kwa mwanamke mwingine hatoweza hivyo hatojua kama hawezi kusimamisha kwa mwanamke mwingine
Hio ni njia ya tatu by the way hizo mbili zipo ni kali zaidi
Lakini shoo unampa muda wote anaotaka?
 
Sijamdhuru mtu nimemtuliza kunipenda ananipenda sana ila hana utulivu
Hata Mungu ananielewa sijamdhuru nataka utulivu tu sina nia ya kumgombanisha na nduguze au lingine lolote
Mungu angekuelewa ungefunga na kuomba. Mwanamke MPUMBAVU huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Umekaribisha u hawi kwenye damu yako. Hicho kilinge ulichokiwekea damu na Hela Leo utalipia kwa machozi na laana zisizoisha. Utawapa wanao taabu ya kusugua magoti ili waoneshwe mahali penye tatizo. Bwana Mungu akufungue fikra zako uone ujinga uliofanya ukarekebishe. Hujachelewa. Wakati mwingine mwache aende zake. Hupati faida kujiwekea tiketi Motoni wewe na kizazi chako chote.
 
Mkuu basi huyo wa kwangu ndivyo alivyodanganywa kwa sababu siyo kwa kuajiamini kule. Mshenzi alinilia ''time'', nimesafiri akamleta ndani kabisa. Ile siku nimesema narudi akachukua nazi kavunjia mlangoni huku anasoma maneno kwenye kikaratasi. Nilipoingia ndani akadhani sioni akasindikiza na yai viza la kuvunja. (nadhani alishaamini kuwa dawa zimenipumbaza).
Huyo alipata tapeli
 
Lakini shoo unampa muda wote anaotaka?
Hapo ndipo kwenye suluhisho lilipo wanawake wengi wananyima wanaume wao penzi alafu wanategemea mwanaume asichepuke.

Hicho kitu ni kigumu Sana.Wanaume tumetofautiana Sana na wanawake.Wao wanaweza kukaa hata miezi zaidi ya Saba BIla show wakati sisi siku Moja tunaweza kuiona kama mwaka kukosaa show.
 
Kwa hili, mleta mada ndio mzembe, hamridhishi kwenye shoo huku akitegemea jamaa asichepuke?
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Tupo tutaona
 
Una bahati umepata mume anayekumbuka hadi kinga alafu unamuona mjinga Tena?? Badilisha awe ndondocha alafu siku tamani arudi kwenye kawaida uone.
 
Kwa hiyo bora achepuke huoni bibie katumia njia ya jadi kumtuliza kuliko kuleta magonjwa ndani
Sidhani kama Bora kumfanya ndondocha.

Nilishaona Kisa mke kamtuliza mumewe ikafikia mume akiamka tu akioga anakaa zake sebuleni anataka na mkewe akae hapo wanatazamane

Baada ya muda mke Tena kaanza kulalamika mwanaume kaacha Hadi kazi na hataki lolote zaidi ya mkewe.

Mke akawa ndio baba ndio mama.

Akaanza Tena kuhaha kutafuta dawa ya kumzindua.

Sasa vina faida gani!?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe
Hahaha umejichimbia kaburi mwenyewe kumbuka jamaa atakuwa hafanyi kazi za maendeleo ya familia yenu kazi itakuwa kuwaza aje tu akuubemende
 
Ni SAWA na kuishi na ndondochaa Kila kitu anafuata.Anaona amewin.Kibao kikimrudia mume ashindwe kurejea kawaida hapo ndyo atajua hajui.
 
Inawezekana kuna mabadiliko,ila lazima nawewe kama mwanamke ujitathmini kama uko responsible Kwa mumeo...............

NB: Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake Kwa mikono yake mwenyewe......
 
Amani unapataje kwa kufanya ushirikina? At the end of day shetani atakuaibisha tuuu, hiyo ni amani ya muda unless maisha yako yote uyaweke kwenye ku renew hayo makombora. Afu ukashindwa kuvumilia hata miaka miwili je unadhani wazazi wenu walikaa ndoani miaka yote walikaaje kama si kuvumilia? Mwaka wa 3 unamloga mwenzio ?
wanawake jifunzeni kumweka Mungu mbele mkipata matatizo. Sijui kizazi kimekuwaje hiki kupenda ushirikina kupitiliza. Unakutana na dada mdogo mzuri lakini bingwa wa kuloga anakaribia kuwa mganga pia. Ta!
Nna wadogo wa kiume, I cant imagine kuwa na wifi kama huyu. Sisapoti tabia za kucheat but, usi control akili ya mtu.
 
Cha kukushauri uwe unakumbuka ku update uchawi wako maana kuna muda huwa inapungua nguvu na tukishtuka habari yako inaishia hapo
Lakini unapaswa ujue pia hivi ndo kunaendaga
before-marriage-after-marriage-v0-fop1ogsvtzn81.jpg
 
Wanaume wengi tu wamebanwa na wamebadilika
Sawa huu uzi upo ntakuja kuweka update sitoona aibu ikitokea hajabadilika
Kweli umemkomesha anastahili.
Lakini nikuulize mdogo wangu...kwani huwezi kuishi bila huyo mwanaume? Yaani taabu yote ya nini ujichumie dhambi bure bure.
Ukiwa naye kuna faida yoyote unapata?
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Ila mumeo akigundua wewe ni mchawi/mshirikina umekwisha.
 
Back
Top Bottom