Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Ndo maana wanaume tunakufa mapema..

Na mchepuko Naye akionwa hapendwi naye ataenda kwa mganga.

Hapo sasa[emoji3][emoji3]
Tatizo wanaume na nyie mmezidi kuangalia shepu badala ya tabia matokeo yake mnajiingiza kwa waganga wa kienyeji kama hawa mnaacha wanawake wenye heshima na adabu zao sababu hawavai nusu uchi au shepu feki.
 
Mmmhhh umeongea haraka haraka kwel yani!...
 

Right!!! Huwa sielewi mtu kulazimisha upendwe kupitia uganga! Acha mtu afe aoze kwako akiwa na akili yake. Afu ukiona hivyo jamaa atakuwa na hela ya kubadilisha mboga ndo maana. Otherwise asingesumbuka!
 
Kweli umemkomesha anastahili.
Lakini nikuulize mdogo wangu...kwani huwezi kuishi bila huyo mwanaume? Yaani taabu yote ya nini ujichumie dhambi bure bure.
Ukiwa naye kuna faida yoyote unapata?
Mapenzi jau sana.....hapo mganga tapeli hatosaidia chochote, huyu dada wa watu ataishia kujinyonga bure....
 
That's it my love.... nothing is permanent
 
Naomba nikuulizecmaswali mawili tu:

1. Wewe ni mkristu,?
2. Wewe hutachepuka maisha yako yote?
 



Pole sana Maya Angelou

Kwa hali unayopitia Sijui kama utanielewa ila HUWEZI KULIONDOA GIZA KWA KUINGIA GIZANI ZAIDI wala HUWEZI KUMUONDOA SHETANI KWA KUMTUMIA SHETANI

Ukiona umeenda kwa mganga ukafanikiwa hesabu siku chache za kuja kuvurugwa zaidi. Shetani ni muongo, mpotofu na muuaji

Ushauri wangu kama amekufikisha pa kumfanya awe ndondocha achana nae maisha bado yapo sanaa. Inawezekana ulikosea njia sasa tulia uone njia sahihi



Pole mwaya
 
Atapendwa kwa muda ila mwisho wake ni mbaya sana.
Hua nashangaa sana.....haya tuachane na ukweli kwamba uchawi haupo, ni fantasy.....

Hizi mambo za ushirikina zinaongelewa kwa miaka mingi, wanahubiri makanisani, maigizo, movie unaona, na siku zote mwisho wake ni mbaya....

Na mtu hajifunzi anataka nayeye ajihusishe na huo ushenzi na hamna faida anapata...
Bora majambazi wanajua ni kosa ila wanapata hela.... Dunia haijawahi eleweka, hata uwe na miaka 200
 
Ana tatizo kubwa la afya ya akili, anahitaji msaada
 
Kwani huyo ni ndugu yako wa damu kwamba hamuwezi kuachana. Yanini upambane na mtoto wa watu. Vipi ndugu zao wakigundua umemharibu ndungu yao unadhani utapona. Usilazimishe pepo la umauti likutembelee. Km umeshindwa kuvumilia achana nae nenda kwa asiye chepuka full stop. Vinginevyo, utajuta. Tunza hii thread.
 
Hapo sasa[emoji3][emoji3]
Tatizo wanaume na nyie mmezidi kuangalia shepu badala ya tabia matokeo yake mnajiingiza kwa waganga wa kienyeji kama hawa mnaacha wanawake wenye heshima na adabu zao sababu hawavai nusu uchi au shepu feki.
Sasa mna alama kwani?
 
Sijawahi kutoa mtu kafara la hela ila siku nikijua mke wangu ndio sababu sisimamishi kwa wanawake wengine sitogeuza shingo hata nusu degree.
 
muda huu wa jioni lijamaa liko sehemu. Limekula nazi na energy drink, kapaka na wiks anasubiri kabinti akachakate.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]on his way back home
Hakuna sehemu anapitia huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…