Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Ndo ukweli. Binadamu tunapenda ngono. Ngono kwetu si kwa ajili ya kuzaana tu ni starehe.
Na ni Mungu mwenyewe ndiye alisababisha hiyo hali, kunyanduana ni hitaji muhimu kwa wanadamu na ni tiba kwa magonjwa yote.

Ila kuna vigezo na masharti kupata minyanduano
 
Reactions: Tsh
Na ni Mungu mwenyewe ndiye alisababisha hiyo hali, kunyanduana ni hitaji muhimu kwa wanadamu na ni tiba kwa magonjwa yote.

Ila kuna vigezo na masharti kupata minyanduano
Sasa hili linatakiwa liwe wazi, isionekane kama ukiwa na mke basi sehemu ya ubinadamu wako inapaa mbinguni unabaki na ile sehemu ambayo tamaa hakuna.
 
Sasa hili linatakiwa liwe wazi, isionekane kama ukiwa na mke basi sehemu ya ubinadamu wako inapaa mbinguni unabaki na ile sehemu ambayo tamaa hakuna.
Biblia ipo wazi katika hilo, neno msinyimane limeelezewa vizuri sana na kwa uwazi katika maandiko.
 
Nakubaliana na wewe katika hili, wapo kabisa wanaojiheshimu. Ila kuhusu wale walipa 'visasi' sikushawishi ukubaliane nami kuwa wapo Ila tambua hilo kundi la walipa 'visasi' lipo kabisa.
Masuala haya hayana absolutes ndugu yangu bali yote ni relative maana ni masuala yanayomhusisha binadamu; na binadamu kamwe huwezi kumfanyia majumuisho ya jumla utafikiri yeye ni limashine tu linalotegemea external inputs ili kujiendesha. Hivyo, of course, wanaolipiza kisasi wapo japo kwangu mimi hao nawaona ni wale wajinga wasiojitambua!
 
Kuoa mke zaidi ya mmoja hii ipo sawa, hata Mungu mwenyewe hajazuia.

Ila hili la kucheat linaitwa uzinzi na uasherati, Yesu alikuwa mstari wa mbele kukemea na alishasema wazinzi hawataenda mbinguni.

Ni heri kuoa wake wengi kuliko kuwa cheater.
Ulichokinukuu hakikuwa hasa kitovu cha hoja yangu; bali nilipita tu hapo huku nikielekea kwenye hoja yangu ya msingi. Na unafikiri wenye wake wengi hawacheat? Utashangaa kugundua kwamba pengine ndiyo wanacheat zaidi kuliko hata wenye mke mmoja. Men!

Sitaki kugusia hayo mambo ya dini maana tutaelekea siko!
 
Madhara ya mwanamke ku cheat yanatokea ndani ya ndoa ila madhara ya mwanaume yanatokea nje ya ndoa think twice ndio maana imeandikwa mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake sio kila kitu anachofanya mwanaume na mwanamke anatakiwa alipize.
 
Nilivyokuelewa ni kwamba unakazia kuwa kucheat ni jadi ya wanaume. Kwa wanawake sio jadi yao.

Pamoja na hayo kumbuka mwanaume huyo mwenye jadi ya kucheat huwa anapita na wake za watu, hivyo uwiano wa kucheat upo sawa kwa wanaume na wanawake.
 
Sawa mkuu nimeusoma mtazamo wako.
 
Chanzo cha usaliti ni mwanamke, toka enzi na enzi jaribu kukumbuka mbegu ya usaliti iliopandwa na eva dhidi ya adam na delila dhidi ya samson, ndio maana mwanaume akaaswa aishi na hawa watu Kwa akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…