Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Apa unataka kusemaje
Wanaume hujimwambafu kwamba wao ndio vinara wa kucheat, Ila sasa wanapogundua kuwa wao ni cha mtoto Ila wake zao ndio vinara wa kucheat hukimbilia kuchukua bunduki na sime ili wafanye mauaji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwani adam alisaliti wapi
 
Ndugu yangu, ndio unaanza kujifunza kuhusu binadamu anaeitwa mwanamke?

Kwa mfano.

Tafuta demu, halafu uache kumdanganya uone na yy kama hatakudanganya.

Mwanamke kuacha kucheat hakusababishwi na mwanaume kuacha kucheat. Ni tabia yake
 
Mwanamke kuacha kucheat hakusababishwi na mwanaume kuacha kucheat. Ni tabia yake
Kama ilivyo kwa mwanaume ndivyo ilivyo kwa mwanamke, Ila kuna baadhi ya wanawake ni kama maji yafuatayo mkondo (mwanaume), vile anavyotenda mwanaume wake naye hutenda vivyo hivyo.

Na ndio maana nikasema ukitaka mkeo asikucheat na wewe acha kumcheat.
 
Mwanamke mwenye hekima huwa hashangai mumewe akimcheat ndivyo tulivyo haturidhiki na K moja

Mfano mzuri ni aliyekuwa raisi wa Marekani Bill Clinton kwa miaka 2 alikuwa akimcheat mkewe Hillary Clinton kwa kutoka na secretary wake.

Na mkewe Hillary alijua lakini hakwenda mahakamani kudai talaka kwa sababu alijua ndivyo tulivyo mpaka leo ndoa yao inatimiza miaka 49

Uzuri ni kwamba wanaume tunacheat with no emotions ni tamaa tu ndio maana tukishamwaga tamaa zinaisha ila upendo wetu kwa wake zetu unabaki palepale

Men are polygamous by nature

Maamuzi ya kiume mwanamke msaliti huwa hasamehewi

Hata Mandela aliwasamehe waliomfunga jela miaka 27 lakini hakumsamehe mama Winnie Mandela alipomsaliti mara moja tu

Once a cheater always a cheater
 
Muwamba ngoma huvutia kwake, inaonekana we ni mzee wa kucheat maoni yako yanakutambulisha πŸ˜‚
 
Uanaujua mkusanyiko wa tabia unaoitwa imani au utamaduni au desturi.

Kama unaujua basi jibu unalo.
 
Nakukubali sana mkuu,I salute you
 
Wanaume hujimwambafu kwamba wao ndio vinara wa kucheat, Ila sasa wanapogundua kuwa wao ni cha mtoto Ila wake zao ndio vinara wa kucheat hukimbilia kuchukua bunduki na sime ili wafanye mauaji πŸ˜‚πŸ˜‚
Apa sasa nichague kundi la kubaki Uwabat ama nikachukue stress za nizibebe tuπŸ€”πŸ€”πŸ“¦
 
Hii formula yako haiko sahihi

Kuchepuka ni kuchepuka tu hata kama mwanaume huchepuki mkeo atachepuka tu bisha unadhani ni uongo
 
Kila mmoja achepuke kwa maamuzi yake acheni huu ujinga wa kutumia kosa kama sababu ya kuhalalisha kosa. Mumeo akinywa sumu na wewe utakunywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…