Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #141
Wanaume hujimwambafu kwamba wao ndio vinara wa kucheat, Ila sasa wanapogundua kuwa wao ni cha mtoto Ila wake zao ndio vinara wa kucheat hukimbilia kuchukua bunduki na sime ili wafanye mauaji 😂😂😂😂😂Apa unataka kusemaje