Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .

Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.

Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.

Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
Tangazo limekaa kimkakati sana. Unataka wa umri gani?
 
Huyo wa zamani ulimuona wap? au ndio za kuambiwa changanya na zako.
 
Hatuongi mashangazi. Vigezo vya kuhudumiwa ni virginity and young age. Ukikosa izo sifa basi uwe na mchango wa kifedha kwa mwanaume. Nionge lishangazi lililochoka wakati kuna vitoto vibichi sokoni, si nitakua chizi
Lililochoka unamadharau .
Wewe hujachoka maisha hadi unawafuata wao
 
WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .

Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.

Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.

Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
Kula Kwa. Jasho na kuzaa kwa uchungu ni laana baada ya makosa na sio jukumu!!ni baada ya dhambi pale eden!Tangu mwanzo baada ya uumbaji mwanamke hakuzaa kwa uchungu wala mwanamme kula Kwa jasho Hadi pale walipokosea ndio Mungu akawalaani!kwahiyo Laana haijawahi kuwa majukum ya MTU Bali ni adhabu na laana !!!

Lakini tangu mwanzo wanaumbwa Hali haikua hivyo!!

Tuyaelewe maandiko!

Swala ya mwanamke kufanya kazi nankuleta mapato ,kasome mithali 31 uone kama hips na uzuri wenu Ina nafasi Kwa make mwema Bali bidii ya kazi na kuleta mapato nymbani kwake hadi mumewe anasifiwa!!

Najua wengi wenu hamlipendi Hilo andiko coz huyo ndio mwanamke aliekusudiwa na Mungu na sio kujificha kwenye laana baada ya dhambi ile!!

Kapitie mithali 31:1......!!
 
WAnaume wakileo.
Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ??
Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani??
Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume ndio anahusika .

Sasa yamekuwa hayooo leo wanaume wanapigania kutunzwa imebaki wazae tu . Ndio imebaki.

Sasa wanaume wazamani wanaheshima wanakujali wanakupenda nakukupa muda wake.

Ila waleo ahaaa khali wamezidi wanataka haki sawa ipi???
si mlisema haki sawa au?
 
Ukisema wanaume wazamani tazama na wanawake wao walikuwa na vigezo gani ambavyo ninyi wa kisasa hamna.

1. Wanawake wa zamani walikutoka kwao wanakwenda straight kwenye ndoa hawakuwa na maisha ya kujitegemea. Ninyi wa sasa mnajitegemea kwanza mnatumika mkishaharibika tabia ndio mnataka kuolewa na kutunzwa kama wanawake wa zamani,nani atafanya huo upuuzi?

2. Kwa mwanamke wa zamani ndoa ni zaidi ya ajira aliitumikia kwa jitihada,uwezo na akili yake yote. Ninyi wa sasa ndoa ni option na hata mkiipata mnaona ni kama status ya kuonekana tu ila sio taasisi ya kutumikia kwa adabu. Nani atakupa mahitaji yako kama hauwajibiki katika nafasi yako ya kike.

3. Wanawake wa zamani walimtambua mwanaume kama kiongozi na mwenye final say. Ninyi wa sasa hamna tu mwanaume m'moja mna wanaume zaidi ya watatu. Ni ngumu mwanaume kukujali kwa hii haiba ya umalaya.

4. Wanawake wa zamani hawapendi kuingilia majukumu ya mwanaume kama yupo kwenye nafasi yake. Wanawake wa sasa mnakimbelembele na viherehere,hadi mahari mnajilipia,akili za wapi hizi nani atakujali.

5. Wanawake wa zamani mali waliziona ila walizishinda tamaa za akili zao hawakutupa nazi kwaajiri ya embe ya msimu. Wanawake wa sasa tamaa ndio namba moja. Mke wa mtu unaweza mtafuna kwa kumlipia marejesho tu. Tamaa kwenda mbele.

6. Wanawake wa zamani wakikutana na mwanaume mpambanaji wanampa sapoti na kumtii. Wa siku hizi wakikutana na mwanaume mpambanaji wanamsogezea shida zao,za ukoo,marafiki,na mbsya zaidi wanamfuja mali zake sijui ili iwaje.

Kwa kumalizia, ukitaka kupata treatments kama wanawake wa kizamani walivyokuwa wanatreatiwa then mjitathimini tabia zenu za kisasa ambazo ni za hovyo sana.
 
Akusapoti kwani wewe kiwete,zako hutaki kutumia na mwenzako za mwenzako unalazimisha na wewe upewe kama sio kichaa nini hicho sasa?
Kichaa huoni huna tabia njema wewe ni mwanaume unatakiwa ujitambue so kama wewe upo hivi jiulize mke uliyemuoa lazima nimcharuko kana,wewe .
 
Back
Top Bottom