Ukisema wanaume wazamani tazama na wanawake wao walikuwa na vigezo gani ambavyo ninyi wa kisasa hamna.
1. Wanawake wa zamani walikutoka kwao wanakwenda straight kwenye ndoa hawakuwa na maisha ya kujitegemea. Ninyi wa sasa mnajitegemea kwanza mnatumika mkishaharibika tabia ndio mnataka kuolewa na kutunzwa kama wanawake wa zamani,nani atafanya huo upuuzi?
2. Kwa mwanamke wa zamani ndoa ni zaidi ya ajira aliitumikia kwa jitihada,uwezo na akili yake yote. Ninyi wa sasa ndoa ni option na hata mkiipata mnaona ni kama status ya kuonekana tu ila sio taasisi ya kutumikia kwa adabu. Nani atakupa mahitaji yako kama hauwajibiki katika nafasi yako ya kike.
3. Wanawake wa zamani walimtambua mwanaume kama kiongozi na mwenye final say. Ninyi wa sasa hamna tu mwanaume m'moja mna wanaume zaidi ya watatu. Ni ngumu mwanaume kukujali kwa hii haiba ya umalaya.
4. Wanawake wa zamani hawapendi kuingilia majukumu ya mwanaume kama yupo kwenye nafasi yake. Wanawake wa sasa mnakimbelembele na viherehere,hadi mahari mnajilipia,akili za wapi hizi nani atakujali.
5. Wanawake wa zamani mali waliziona ila walizishinda tamaa za akili zao hawakutupa nazi kwaajiri ya embe ya msimu. Wanawake wa sasa tamaa ndio namba moja. Mke wa mtu unaweza mtafuna kwa kumlipia marejesho tu. Tamaa kwenda mbele.
6. Wanawake wa zamani wakikutana na mwanaume mpambanaji wanampa sapoti na kumtii. Wa siku hizi wakikutana na mwanaume mpambanaji wanamsogezea shida zao,za ukoo,marafiki,na mbsya zaidi wanamfuja mali zake sijui ili iwaje.
Kwa kumalizia, ukitaka kupata treatments kama wanawake wa kizamani walivyokuwa wanatreatiwa then mjitathimini tabia zenu za kisasa ambazo ni za hovyo sana.