Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

Kwa jinsi ulivyoandika hii comment pamoja na comments zako hapa jamvini wewe ni aina ya wanawake wa kisasa ambao umejielezea hapo kwenye bolded items.
Umeamua kusema hivyoo because ulishakanyaga mto wenye mamba wakakukulq huna lolote
 

Attachments

  • images (38).jpeg
    images (38).jpeg
    51.4 KB · Views: 1
Hamjui hata kuomba hela kiakili mnaforce mlisaidia kumpatia
 
Penzi sio biashara ya matunzo Bali ni asili!

Toeni penzi Kwa mahitaji ya asili mlivyoumbwa na sio kigezo Cha kuhudumiwa!Ni aibunkuzaa mtoto anaewaza amekuja duniani Ili atoe penzi apate huduma yaani kufanya ukahaba baridi!!kama huwezi kujihudumia mwenyewe kama mwanamke Kwa kufanya kazi wewe ni mlemavu na ulipaswa kunyimwa viungo Ili uhudumiwe vizuri!

Badilikeni coz bibi zetu walilima mashamba,wakabeba mikungu ya ndizi Hadi sokoni wakanunua vya muhimu familia ikafurahi!!
Umenena vyema
 
Back
Top Bottom