Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

Wa zamani uliwaona wapi? Au wewe ni kibibi
 
So umeenda kuandika risala okay sasa ngoja nikuelezee mnaenda kuoa malaya mnaacha wema na wenye upeo wa akili kama siye,mnaenda kuoa washirikina,matapeli mnakuja kutusema sisi
 
Endeleeni majukumu yenu ila hamtaki kujituma ndio maana wengi wanafumuliwa marinda
Hivi ule msemo wa haki sawa huwa mnavyoshangilia na kufunga vibwebwe siku yenu mnayoiita ya wanawake Duniani huwa mnajua maana ya ule msemo?

Haki sawa maana yake ni mimi natoa kwako kwa 100% na wewe unatoa kwangu kwa 100% hakuna visingizio vya wewe ni mwanamke mimi mwanaume hapana.

Yaani unatakiwa kujua kuwa mahusiano ni kuwajibika sawa sawa na sio ukitoa umdharau Mwanaume utaendelea kumtumikia kama mumeo na umtii kwa heshima zote bila kuleta habari za kuna wanawaume huko nje wanakupa yeye hakupi.
 
Kichaa huoni huna tabia njema wewe ni mwanaume unatakiwa ujitambue so kama wewe upo hivi jiulize mke uliyemuoa lazima nimcharuko kana,wewe .
Mimi mwanamke wangu kwanza anachukia mfeminist hadi basi. Huwa anasoma nyuzi zangu anacheka sana namna naponda mfeminist.

Katika kitu anajua nakichukia basi ni maswala ya haki sawa,sijui kuwezesha wanawake anajua nachukia hizo vitu. Anaishi kwenye nafasi yake kama mwanamke huwa hathubutu kuniletea ajenda za kipuuzi.
 
So umeenda kuandika risala okay sasa ngoja nikuelezee mnaenda kuoa malaya mnaacha wema na wenye upeo wa akili kama siye,mnaenda kuoa washirikina,matapeli mnakuja kutusema sisi
Wanaume kwenye kuoa ukikuta kaoa mwanamke haeleweki jua ni yeye kamtaka na mapungufu yake. Ila hakunaga kitu kinachoitwa kuoa malaya kwa mwanaume.
 
Mmevuruga wenyewe dunia na huu upuuzi wa 50/ 50 na usawa wa kijinsia, mfumo dume hamuutaki na mwanzoni mwa miaka ya 2000,wanaharakati wakaingiza 50/50 na usawa kijinsia kwenye mitaala ya elimu mashuleni, watoto wakiume wanafunzwa ktk misingi ya kuamini wanahaki sawa na nyie.

So hilo bomu mmelitengeneza wenyewe,ile mbegu mliyo ipanda ndio imemea, ndio maana vijana wa siku hizi wanaona haki yao.Itafika kipindi mabinti wa miaka hiyo ya mbele mkiwasimulia miaka ya nyuma mabibi zao walikuwa wanahongwa majumba na magari wanaweza kuwashangaa.

Ndio maana hata Nabii Isaya alitabiri " Wanawake sita watagombaniwa mwanaume mmoja ,huku wakiwa tayari kujigharamia kila kitu bila kuhitaji senti ya mume ".Wahongaji wanazidi kupungua na hata wale wanao honga basi hela yao utaitumikia kweli kweli.
 
Endeleeni majukumu yenu ila hamtaki kujituma ndio maana wengi wanafumuliwa marinda
kama ni marinda hebu tulinganishe wanawake wa zamani na wa sasa, kwenye eneo hilo la marinda tuone nani anakuwa hana marinda katika umri upi
 
Rejeeni tena Beijing mkaikane ile 50/50!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…