Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

kama ni marinda hebu tulinganishe wanawake wa zamani na wa sasa, kwenye eneo hilo la marinda tuone nani anakuwa hana marinda katika umri upi
Njoo test ukikuta imeshika utoe ml 5
 
Da mau bhana 😹😹
Ila hii mitopic inanoga kwenye id ya unique ua..!!
 

Wanaponda mfumo na kuleta ukaidi kwa mfumo dume ila wanataka faida zake zinazopatikana ndani ya mfumo dume. Upuuzi tu.
 
Huu mfananisho hauko sawa,kichwa kinahusu wanaume ,ujumbe kuhusu jinsia mbili tofauti.Pia huwezi kuwepo hivi sasa na zamani kwa pamoja.Kama zamani ingekuwa zamani na sasa ingekuwa sasa.
 
Haya mambo yameaza baada ya kuibuka kauli mbinu ya 50/50.
 
Kwa kuongezea tu hapo kwenye hili bandiko lako maridhawa.

1) Wanawake wa zamani walijua kujitunza na kuishi maisha sahihi kabla ya ndoa, hawakujihusisha na ngono kiholela holela kabla ya ndoa kama hawa wa sasa. Wanawake wa zamani walikuwa wanaolewa wakiwa wako sealed au kama hayuko sealed basi hana msululu wa maEx na ndio maana ilikuwa rahisi kubond na mumewe mara tu anapoolewa. Hawa wanawake wa sasa hivi unakuta tayari ni single mother na maEx kibao halalafu anataka apewe queen treament si ni uhujumu uchumi huo kwenye mahusiano.🥲

2)Kubwa na muhimu zaidi wanawake wa zamani walikubali nafasi yao ya kuishi kama wanawake ndani ya ndoa, waliyakubali majukumu ambayo kitamaduni ni ya kike na pia walimtambua mume kama ndio kiongozi wa familia na walikuwa na nidhamu ya hali ya juu.... tofauti kabisa na hawa wa sasa, hawa wanawake wa sasa tayari minds zao ziko corrupted na feminism, hawako tayari kufanya majukumu ya kike wanaita ni utumwa, hawako tayari kumpa mume headship of the family wanaamini hata wao pia wanastahili kuwa viongozi wa familia na hata nidhamu hawana kujibishana na mumewe kwao ni kitu cha kawaida, halafu eti hapo hapo wanategemea wewe mwanaume utimize majukumu yako kama baba/mume hasa yale majukumu ya kifedha ikiwemo kumtunza yeye mwenyewe kama ishara ya upendo. Hakuna mwanaume wa kufanya hivyo

Kwa ufupi tu wanawake wa kileo hawana sifa wala hawastahili kuenjoy ile sacrifice walioipata bibi zetu kutoka kwa babu zetu.
 
So umeenda kuandika risala okay sasa ngoja nikuelezee mnaenda kuoa malaya mnaacha wema na wenye upeo wa akili kama siye,mnaenda kuoa washirikina,matapeli mnakuja kutusema sisi
Kwa jinsi ulivyoandika hii comment pamoja na comments zako hapa jamvini wewe ni aina ya wanawake wa kisasa ambao umejielezea hapo kwenye bolded items.
 
Haya maneno mnayatoaga wapi lakini😃🤣🤣🤣
Penzi sio biashara ya matunzo Bali ni asili!

Toeni penzi Kwa mahitaji ya asili mlivyoumbwa na sio kigezo Cha kuhudumiwa!Ni aibunkuzaa mtoto anaewaza amekuja duniani Ili atoe penzi apate huduma yaani kufanya ukahaba baridi!!kama huwezi kujihudumia mwenyewe kama mwanamke Kwa kufanya kazi wewe ni mlemavu na ulipaswa kunyimwa viungo Ili uhudumiwe vizuri!

Badilikeni coz bibi zetu walilima mashamba,wakabeba mikungu ya ndizi Hadi sokoni wakanunua vya muhimu familia ikafurahi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…