Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

Vijina wasiku hizi mnapenda vitonga aisee kwanini asitafute pesa zake, halafu bima ni kitu kidogo sna ni elimu tu watu hawajapata ya kutosha kuhusu bima.
Kukata bima inawezekana kwa kila mtu hatakama ujaajiriwa tena the good news ni kwamba bima ya kukata mwenyewe haipo limited kama ya waajiriwa ambazo zinachagua ugonjwa.

Kwahiyo ndugu yako alioa kwa kufuata 25,000 ya bima kila mwezi ya mwalimu.
 
andiko bora kabisa kupata kutokea jF

LIKUD umepiga panapouma, ndiyo maana victims wamekuja na mapovu mubashara
 
Bima ipi unasemea wewe? Ulishawahi kulazwa ICU halafu ukatumia hiyo bima yako ya elfu 25 kwa mwezi? Bima za afya kwa watu binafsi ni majanga. Labda kama unakata zile za makampuni binafsi ambazo wazazi hawahesabiwi na hela yake ni ndefu. Ndugu yetu kalazwa muhimbili ICU zimetoka M5 kwa wiki moja na bima alikuwa nayo. Walimkatia NHIF ya mtu binafsi.
 
Tatizo la kuoa bila mapenzi ni kuvumiliana. Zikishafika zile stage kanya kasahau kuflash na kujambiana usiku unaweza mpiga na kitu kizito sana na ukasahau kuwa ulimuoa ili akutolee dhamana na ndo ushajeruhi wa kukutolea dhamana.
 
Tatizo la kuoa bila mapenzi ni kuvumiliana. Zikishafika zile stage kanya kasahau kuflash na kujambiana usiku unaweza mpiga na kitu kizito sana na ukasahau kuwa ulimuoa ili akutolee dhamana na ndo ushajeruhi wa kukutolea dhamana.
Kwa wanawake wa sasa ukiowa mwanamke kwa kigezo cha upendo uneumia.
 
Kwa wanawake wa sasa ukiowa mwanamke kwa kigezo cha upendo uneumia.
Upendo sio kigezo kikuu, ila mapenzi inabidi yawepo tu. Kukaa na mtu humpendi itawezekana kweli? Hata akibanja tu utataka aondoke hapo ulipo.
 
Wengine tumeoa kwa sababu mbili tu.
1. Kuzaa
2. Kusikiliza gubu za wanawake.
 
Akili nyingi sana mzee...vijana kunyweni maziwa hayo.
 
Kweli kbs, mke ni taasisi anatakiwa awe na ofisi yake kabisa ya kushughulikia mambo ambayo anakuwa assigned, hii taasisi haihusiani na uzuri wala shape ya mtu bali ni yeye yeyote ambaye una uhakika atamudu kazi zake

Sio mapenzi kama inavyotrend na ndo maana tunaona matokeo mabaya.
 
Ushamba na kutojua maisha
 
Ur the true son of ur father
 
We mtoa mada una habari kuna mtu alioa hapa daslamu kisha wakaenda dubei kufika tu akaanza kuzimia zimia ili apepewe yule mwanamke anamkodolea jicho tu alvyozimai mara ya saba kuamka mke kasepa anaanza kulalama tu
 
Uelewa wako upo chini Sana mkuu

Jielimishe acha uvivu

Mtoa maada ameeleweka vizuri mno

Nadhani hili ndio andiko Bora kabisa litakalowasaidia wanaume wanaotamani kuingia kwenye ndoa

Binafsi nitalitumia hili andiko

Asante mtoa maada
Ahsante Mungu hili bandiko nimeliona leo maana ningeliona huo mwaka uliolibandika ningemaindi sana maana nilikuwa naishi na mtu niliyempenda to the fullest,,
Ghafla mwaka huu mwanzon akanibadilikia baada ya Lime light kuzima.
Yeye hakujali kama ataniangamiza au lah.
Sasa ajabu akatimka kwangu na kusema tuachane halafu akaniongopea kuwa ameenda mkoan kwao X baadae kuja kuchunguza kumbe kahamia tu kata ya tatu na wanangu. Iliniuma sana but no option hata nilipojaribu kumrudisha haikuwezekana maana hakwenda mbali ili aichungulie lime light yangu kama itawaka au ndio imezima mazima? Akajiaminisha kuwa imezima lakini hata ingewaka ndani ya miezi sita usingesita kuona watu wamerudi ndani ya geti na kukaa nje ya nyumba wakikusubiri urudi na kukupigia magoti kwamba Walimwengu walimdanganya hususani mashosti wake ambao bado amerudi nao kwenye simu.
Baada ya kuwa nimeridhia kuachana nae nimewaza huu mtego wa mke wangu aliwezaje kusema tuachane na akakaa kimya bila kudai talaka?
Halafu inakuwaje mtu anasema tumeachana anaquit na bado anajificha usijue alipo na anaendelea kufuatilia taarifa zako? Ni kuachana kwa aina gani huku?
Nikapata jibu kuwa huyu alikuwa amejiengua ili kwenda kuisikilizia hali yangu ya pesa ikushoot arudi kuja kunisumbua hata kama nitakuwa nimeoa mke mwingine maana round hii hatorudi kama ambavyo ujinga wangu utakuwa unanituma kuwa atasubmit kwangu no atakuja na suprise attack iliyosheheni Money mongers like Lawyer, police and co.
Which is the best step now? Nishaurini wazee..@LIKUD.
 
Mkuu ukioa kisa tako hakikisha una flow ya pesa kutoka kwa LUCIFER mazima maana hapo wewe ndio utawahi kuisha zibaki pesa. Tofauti na hapo ujue kuwa pesa ikipungua tu anaanza kuitumia ile silaha yake ambayo ni tako kukuua kwa kihoro hata kama kuna wahuni tulikuwa tumeambiwa usipige simu usiku tunaanza kutumiwa sms usiku ili tupige simu na wewe ukiwepo
Au tunachatishwa makusudi na wewe upo.
Hebu chukua hiyo picha ya kumuona mkeo yuko busy kwenye simu ambayo umemnunulia wewe anatype mara kibao vitu ambavyo hujui vinahusiana na nini na mkao wa sura amekuwekea ule unaoashiria niulize tu nilianzishe nikuachie chumba chako nihamie chumba cha pili.
Chukua hii vijana wote kwa matumizi yenu ya leo na kesho hata vipite vizazi na vizazi bado itasimama tu sina shaka juu ya hii kauli::

Ukiona mwanaume ameachana mazima na mwanamke mzuri wa kila kitu aliyempenda mno yaani mwanaume amempenda huyo mwanamke sana kupitiliza akaja akamuacha tu kwa amani bila kumdhuru, ujue huyo mwanaume ni shujaa sana yaani amekwepa na kuvumilia risasi nyingi sana za moyo na mpaka hapo moyo wake unakuwa na bonge la donda litakalovuja damu kwa ndani mpaka kufa kwake.
 
Kuna miezi hautakuwa na hiyo 25k broo underate it but there comes a day utaelewa kwann watu wengi wanapenda kuajiriwa duniani kuliko kujiajiri hapo ndio utapata jibu.
Serikali nyingi Duniani zinavuna kodi hazitaki kufanya biashara bali zinakutanguliza wewe individual ukabeti kwenye fursa ili wao waje wachukue kodi ambayo ni ya uhakika kutoka kwako
Unaongea as if maisha haya umeyaandika somewhere so unaishi kwa kuyasoma.
 
Mleta mada bado ni Mtoto, Ukikua utaelewa.
Unadhani Ndoa ni kijiwe cha kahawa 😀 Labda kama hiyo siyo Ndoa official ya Kanisani au Msikitini, Unadhani wazazi wako au wazee waliodumu kwenye ndoa walikuwa wajinga au hawakuwa na hizo interest? Eti oa kwa sababu ya Interest fulani, Kwa hiyo hiyo interest ikikamilika na ndoa inakuwa imeishia hapo, unahamia kwenye interest nyingine? Sasa hiyo ni ndoa au mkataba wa kazi😀 Eti unaoa kwa sababu unataka makaratasi, NONSENSE! Hautoboi hata miezi miwili! Utakuwa na msururu wa ex-wives 😀
UPENDO, HESHIMA, UTII ndiyo msingi wa Ndoa.
'
You marry simply where your heart find peace'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…