Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

Elewa hili.
silaha ya kwanza kumridhisha mwanamke ni maandalizi bora na kujenga hisia kwa wote.

nb: ili mwanamke umridhishe lazima aridhie kihisia na akupende vinginevyo utasugua na kumuumiza tu.

mwanamke akifanyiwa foreplay ya kiufundi haihitajiki nguvu kubwa kumliza kwa raha(kumfikisha).

hayo mafundo wala hayana la maana.
 
Sidhani kama hoja hii inauhalisia ila ninachoweza kushauri ni kuepuka kutahiri mtoto akiwa bado mdogo sana, mara nyingi hufanya uume kudumaa na kuwa na ukubwa usioridhisha.

Mtoto atahiriwe akiwa na umri kati ya miaka 13-16 wakati akiwa anaelekea kuanza kubalehe. Vijana wengi wa sikuhizi wanatahiriwa wakiwa wadogo sana ndiomaana shida za kimaumbile zimekuwa nyingi mno.
 
Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo.

Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo.

~ wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote, inakatwa kidogo kisha ngozi inayobakia huviringishwa mwishoni kabisa mwa shina la uume yaani karibia na kichwa.

Hivyo kufanya kutengeneza kifundo kidogo mfano wa tuta, hivyo wakati wa tendo ni rahisi kuifikia ipasavyo g sport ya mwanamke wakati wa msuguano.

Tohara kwa upande wa hospital.

Hospital wanachokifanya wao ni kuikata ile ngozi yote na kuitoa kisha kushonea kipande kidogo cha ngozi kilichobakia.

Sasa kimbembe kinakuja pale baada ya kupona kwani utengeneza mfano wa kipara mwishoni kabisa mwa uume.
Ni kweli mkuu, sijawahi kukutana mwanamke na asifike kileleni kumbe sababu ni hiyo, asante
 
Sidhani kama hoja hii inauhalisia ila ninachoweza kushauri ni kuepuka kutahiri mtoto akiwa bado mdogo sana, mara nyingi hufanya uume kudumaa na kuwa na ukubwa usioridhisha.

Mtoto atahiriwe akiwa na umri kati ya miaka 13-16 wakati akiwa anaelekea kuanza kubalehe. Vijana wengi wa sikuhizi wanatahiriwa wakiwa wadogo sana ndiomaana shida za kimaumbile zimekuwa nyingi mno.
Ni tamaa zako ndyo zinakutuma hapo pamoja na ulivyojitune ila uhalisia ni kwamba maandalizi mema Kwa mwanamke pamoja na hisia zake Kwa mkunaji zitasaidia kumfikisha peak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na napenda kuongezea, waliotahiriwa jando la asili uume wao ni wa motoo na mtamuu mnoo, yaan una ladha halisi ya kibinadamu.

Hawa wa hospital hapana ile ganzi inaharibu kila kitu.

Wanaume waliotahiriwa jando la asili, wapewe maua yaoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NAKAZIA [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapewe maua yao akiwepo na mzee wa chugastan CW [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
NAKAZIA [emoji23][emoji23][emoji23]
Wape we maua yao akiwepo na mzee wa chugastan CW [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushafikaa hapaa.
 
Back
Top Bottom